Ushauri: Valentine Spesho

Ushauri: Valentine Spesho

Usiogope dunia ni kama kijiji mjini kila kitu dili huku hayo mambo hayapo huku ukiwa na hela unaweza ukakaa nazo hata mwaka hujatumia

Sasa nikiwa mjini kila siku lazima nitumie hela tena za kutosha
Ukitumia hela inakupa akili ya kuzitafuta zaidi

Zikiwa zimejaa unakuwa hauchangamshi akili ktk kutafuta unabweteka
 
Tunashukuru kwa video yako nzuri ya Ruby one mengine tulishayazoea cos Valentine aijaanza mwaka uu bt thankx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom