Ushauri: Utumishi wa umma uwe wa mkataba

Naamini wapo watakao niunga mkono na wapo watakao nipinga.Kutoka na utendaji usioridhisha katika ofisi nyingi za Serikali kwa Watumishi wa Umma nashauri ni vema Serikali ikaanzisha Utumishi wa Mikataba kwa watumishi wake kwa kupangiana Malengo ya kila Miezi 4 kama mwaka wa Serikali ulivyo.

Mtumishi anaposhindwa kuyatimiza atakuwa hastahiri kuendelea na Utumishi.Pia nashauri Mkataba uwe wa miaka 5 kwa vipindi viwili kwa maana ya miaka 10 analipwa Mafao yake yote.Utendaji wa Ofisi na Mashirika yasiyo ya Serikali unakuwa na Mafanikio kutokana Mtumishi kujua nipo kwa mkataba nisipofanya vizuri mkataba unasitishwa lakini Serikali watumishi wanafanyia kazi kwa mazoea na wanasubiri miaka 55 au 60 wastaafu.

Faida ya Mikataba ni kuwa Watumishi watakuwa wanapishana ktk ajira ndani ya miaka 5 au 10 kuliko sasa mpaka miaka 55 au 60.
Kwani utumishi wa uma sio wa mkataba? wanapo ajiriwa hawasaini mkataba?
 
Hivi mnaosemaga watumishi wanakula kodi bure..hivi mnafahamu kitu kinachoitwa P.A.Y.E...au mnaleta upompoma..mashi ga mvwa..nyaningwe.
Wananchi wanachuki kubwa sana na hawa watumishi pengine kuliko viongozu wa serkali kutokana na matendo yao.

Watumishi ni wazembe,majeuri,wanadharau,Hawajui mambo mengi,kazi kupiga soga za umbea tu na Kula kodi za wananchi bure huku wakishindwa kuwahudumia ipasavyo.
Yani wanajifichiaga ktk mgongo wa CCM na kuipakazia ubaya wote wa serkali.Kumbe wao ndo tatzo ndani ya nchi hiii.

Hawa ni kuwafupishia mikataba tu,Hope Rais wetu atayafanyia kazi haya ili kurudisha nidhamu ya utumishi nchini
 
Mtumishi wa Umma anaenda ofisini hajui atafanya kazi gani mpaka itokee isipotokea atapiga domo atasoma magazeti ya unaku ataingia kwenye mitandao ikifika hata saa 7 anajiondokea mpaka kesho.
Vipi serikali inajali stahiki za Hao watumishi kwa 100%? Maana wajibu lazma uendane na haki,huwezi kudai wajibu Bila haki
 
Naamini wapo watakao niunga mkono na wapo watakao nipinga.Kutoka na utendaji usioridhisha katika ofisi nyingi za Serikali kwa Watumishi wa Umma nashauri ni vema Serikali ikaanzisha Utumishi wa Mikataba kwa watumishi wake kwa kupangiana Malengo ya kila Miezi 4 kama mwaka wa Serikali ulivyo.

Mtumishi anaposhindwa kuyatimiza atakuwa hastahiri kuendelea na Utumishi.Pia nashauri Mkataba uwe wa miaka 5 kwa vipindi viwili kwa maana ya miaka 10 analipwa Mafao yake yote.Utendaji wa Ofisi na Mashirika yasiyo ya Serikali unakuwa na Mafanikio kutokana Mtumishi kujua nipo kwa mkataba nisipofanya vizuri mkataba unasitishwa lakini Serikali watumishi wanafanyia kazi kwa mazoea na wanasubiri miaka 55 au 60 wastaafu.

Faida ya Mikataba ni kuwa Watumishi watakuwa wanapishana ktk ajira ndani ya miaka 5 au 10 kuliko sasa mpaka miaka 55 au 60.

Hata mimi nashangaa ni kwa nini serikali yetu sikivu haitaki kufanya hivyo.
Na hiki ndiyo kilio cha watumishi,fikiria ni kwa nini serikali ilifuta fao la
kujitoa kwenye utumishi wa umma.
Mtoa mada,nakuona ni kama unaitega serikali hivi ili ikwae kitanzi kama
kile kilichotegwa na wapinzani cha Elimu Bila Malipo.
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia
Na kwa kuongezea,kua na kamati maalumu ya kuwapima na kuwafuatilia.Iwe kamati ya uchunguzi na usiri mkubwa sana.watafanya kazi hawa mabwanyenye wa kutumia kodi zetu vibaya na kuletea jeuri wananchi
Hicho kitu hakiwezekani hata kwa 5% maana mkataba ni gharama na serikali ina changamoto zake nyingi
Ulaya yenyewe Hakuna sembuse Tanzânia? Acheni kuwaza mambo magumu kiuwepesi
 
Wananchi wanachuki kubwa sana na hawa watumishi pengine kuliko viongozu wa serkali kutokana na matendo yao.

Watumishi ni wazembe,majeuri,wanadharau,Hawajui mambo mengi,kazi kupiga soga za umbea tu na Kula kodi za wananchi bure huku wakishindwa kuwahudumia ipasavyo.
Yani wanajifichiaga ktk mgongo wa CCM na kuipakazia ubaya wote wa serkali.Kumbe wao ndo tatzo ndani ya nchi hiii.

Hawa ni kuwafupishia mikataba tu,Hope Rais wetu atayafanyia kazi haya ili kurudisha nidhamu ya utumishi nchini
Chuki binafsi ,kama maisha ni magumu fanya kazi , watumishi hawakuhusu
 
Hivi mnaosemaga watumishi wanakula kodi bure..hivi mnafahamu kitu kinachoitwa P.A.Y.E...au mnaleta upompoma..mashi ga mvwa..nyaningwe.
Hawajui mtumishi analipa kodi kubwa mno kuliko hata wakulima na wafanyabiashara
 
Amna watu waoga maisha duniani kama watumisha wa uma hapa Tanzania..hasa akiwa nje ya ajira.
 
Naamini wapo watakao niunga mkono na wapo watakao nipinga.Kutoka na utendaji usioridhisha katika ofisi nyingi za Serikali kwa Watumishi wa Umma nashauri ni vema Serikali ikaanzisha Utumishi wa Mikataba kwa watumishi wake kwa kupangiana Malengo ya kila Miezi 4 kama mwaka wa Serikali ulivyo.

Mtumishi anaposhindwa kuyatimiza atakuwa hastahiri kuendelea na Utumishi.Pia nashauri Mkataba uwe wa miaka 5 kwa vipindi viwili kwa maana ya miaka 10 analipwa Mafao yake yote.Utendaji wa Ofisi na Mashirika yasiyo ya Serikali unakuwa na Mafanikio kutokana Mtumishi kujua nipo kwa mkataba nisipofanya vizuri mkataba unasitishwa lakini Serikali watumishi wanafanyia kazi kwa mazoea na wanasubiri 55 au 60 wastaafu.NFaida ya Mikataba ni kuwa Watumishi watakuwa wanapishana ktk ajira ndani ya miaka 5 au 10 kuliko sasa mpaka miaka 55 au 60.
Muajiri nae akishindwa kukutekelezea mahitaji yako ya kutenda kazi anawajibishwa na nani!!?? Maana OPRAS tunajaza mahitaji ilk ufikie malengo wabayakubali wanasaini unafika wakati wa kufanya review haujafikia malengo na anayesababisha no huyohuyo muajiri ... Anawajibishwaje!!??
 
Back
Top Bottom