Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Wanafunzi wengi wanapoa apply chuo jambo la kwanza wanaanza kuuliza kozi hii nitapata mkopo asilimia mia? Na wengine wanaomba mkopo kwa sababu ni utaratibu walio ukuta na sio kwa sababu wana uhitaji!
Kwa ushauri wangu,
Kama wewe ni mwanafunzi unajiandaa kuanza chuo na mzazi wako anakauwezo walau kadogo ka kukulipia ada ya chuo basi kaa mbali kabisa na mkopo wa loan board!!
Ada ya vyuo vingi ni kuanzia 700,000 mpaka 1,500,000 kwa mwaka na kama mzazi alikusomesha primary mpaka sekondari akikomaa hawezi kosa hiyo ela!
Unaweza ukawa unafurahi kupata laki sita au laki nne za mkopo kila semester ila majuto yake utakuja kuyaona ukisha maliza chuo!!
Najua unayeanza chuo WENDA usinielewe namaanisha nini ila utakuja kunielewa/kunishukuru uki maliza chuo na kuanza kazi!!
Narudia tena ...usiombe mkopo kwa kufwata mkumbo! Kaa mbali na mkopo wa loan board!!
NB: Huu ushauri unaweza usiwahusu yatima ambao hawana mtu yeyote wa kuwalipia ada.