Ushauri: Usichanganye DINI na MAPENZI!

Watu wafupi ni shida..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Hakuna kitu ambacho nachukia kuona watu wanachanganya vitu... Mbona kila kitu kipo Sawa tu wapi binaadam wanakoseaga?

Leo nipo zangu Posta nakutana na besti wangu, tukapiga mastori mengi ananiuliza kama nimeacha wokovu!
Money Penny: Hapana sijaacha Kwanini?
Rafiki: Mbona unaandikaga matusi
Money Penny: wap nayaandika?
Rafiki: Jamii Forum
Money Penny: Matusi kama yapi?
Rafiki: kupigana Machine, mara dyudyu tamu, mara kutombana
Money Penny: sasa tusi hapo NI lipi?
Rafiki: yote nilioyataja
Money Penny: sasa wokovu wangu hapo umeingiaje?
Rafiki: umetukana ina maana umetenda dhambi
Money Penny: Kwani Biblical yako unayoisoma umeandikaje kuhusu Kutombana
Rafiki: haijaandika
Money Penny: Yesu aliagiza nini kuhusu unyumba?
Rafiki: Zaeni Mkaongezeke na kuijaza nchi
Money Penny: sasa unazaaje kama hujapigwa miti, machine au kutombwa?
Rafiki: kimya!
Nikaondoka nikamwacha ananiangalia SA sijui nilikuwa nimependeza maana nilipiga utenge wa nguvu si unajua ofisi zao wenyewe hawataki tuvae vipedo na suruali za jeans!

Unajua kama hauijui Biblia Vizuri ( Hapa naongelea Wakristo wenzangu) usipende kuhukumu roho ya mwenzio hakuna mkamilifu Duniani

Aliyesema usiibe aliesema usisengenye na usizini na usiseme uongo

Pia Biblia uliandika kuwa yale Yalikuwa yanasemwa chini ya Carpet sasa yataongelewa Juu ya Dari..

Kwako naweza kuonekana naandikaga Matusi lakini Kwa watu wengi naonekana naisaidia Jamii

NI hayo Tu nipo kitandani hapa naangalia tamthilia ya MOM Season 6

Msipende kuchanganya Mapenzi na Dini jamaa, hasa ukiwa hujaielewa Biblia Vema

aiseeee mwambie best yako aache uree
 
Kama hadi wewe umeokoka shughuli ipo. Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hadi wewe umeokoka shughuli ipo. Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yako yuko sahihi,hata kimaadili pia,sio dini tu.
aiseeee mwambie best yako aache uree
Watu wafupi ni shida.. you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Watu wafupi ni shida.. you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Watu wafupi ni shida.. you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Watu wafupi ni shida..

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
Go read your Bible first then ukirefuka come comment
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom