Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Hata mimi nitaomba kuiba michango ya hii post. Ninataka kununua ka Suzuki kei mkubwa cha kunitoa Mbagala to Posta kwa kweli. Hebu nipe details unaiimport from wapi? How much? Natanguliza shukrani.
Kuhusu malipo bandarini nimeambia rates zimepanda siku hizi, eti wanacalculate kwa kutumia value ya gari ikiwa mpya not the condition it is in when bought/imported.
Kuhusu malipo bandarini nimeambia rates zimepanda siku hizi, eti wanacalculate kwa kutumia value ya gari ikiwa mpya not the condition it is in when bought/imported.