PATIE DE CHRISS
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 453
- 217
Ningeshauri kabla ya kununua gari chunguza kwanza itacost how much pale bandarini na process zingine za utoaji wa gari bandari bila hivyo utatelekeza gari bandarini na itapigwa auction
Na hawa jamaa wa SBT Japanese, Nasikia wapo vizuri sana katika kuagiza gari. Ambaye kashawatumia watupe mrejeshoChukua WISH kwa kuwa haitachajiwa uchakavu sana maana ni ndani ya miaka 10 pia tafuta kampuni ya beforward ni nzuri ukiweza tumia BFS 178357 utapata punguzo zaida na utafurahia hiyo gari kwa bei ya discount
Na awa jamaa wa SBT Japanese, Nasikia wapo vizuri sana katika kuagiza Gari. Ambaye kashawatumia watupe mrejesho
Nina uzoefu na Noah ExhurbMsaada katika magari aya
Toyota Noah Exhurb vs Toyota Noah Super. Ipi ni imara sana kwa shughuli za hapa na pale.
Exhurb imetulia sanaMsaada katika magari aya
Toyota Noah Exhurb vs Toyota Noah Super. Ipi ni imara sana kwa shughuli za hapa na pale.
Tafuta agent, mengine atamaliza yeye kwa kukupa wewe taarifa za nini cha kufanya. Makampuni yanayoleta magari huku kama Beforward wanafanya hizo kazi pia.Naomba kuuliza, hapa Tanzania hiyo hela tunalipia bank gani? Hao maagent wa kunitolea gari bandarini nawapataje?
Asante mkuu.Tafuta agent, mengine atamaliza yeye kwa kukupa wewe taarifa za nini cha kufanya. Makampuni yanayoleta magari huku kama Beforward wanafanya hizo kazi pia.
HuweziKwani process za bandari lazima utumie agents huwezi kufanya tu mwenyewe?
Tradecarview si kampuni ya kuuza magari, ule ni mtandao kwa ajili ya watu binafsi wanaouza magari, wanayaweka pale, ni sawa na tovuti ya KUPATANA kwa huku kwetu.Kwani tradecarview hawana office Dar naonaga vifaa vyao vimesimama tofauti na beforward