Wewe unampotosha... Ni lazima kiburudisho cha babako ambacho ni currently ukipe nafasi stahiki. Namna hii: naomba kutambua uwepo wa baba mzazi, mama Mzazi na mama mlezi, wote kwa pamoja wasimame.Hapo kwanza nita acha Ku assume,
Halafu utambulisho wangu utaaza kama ifuatavyo.
SALAMU,,,ndugu wageni wahalikwa ,mabibi na mabwana__
Asalaaam alekhum,
Kristo,
Bwana YESU asifiwe,
Kwa maajina ,(bwana harusi unataja majina yako)
Unatoa ukaribisho na kuendelea ,
Ningependa kutambulisha ndugu zangu ambao ni,kwanza
Baba yangu mzazi na mama yangu mzazi kwa pamoja wasimame wapunge mkono,,
Pacha wangu (kama unaye) asimame apunge mkono.
Unaendelea_mama zangu wadogo wote walipo wasimame wapunge mkono,
Baba wadogo, wasimame wapunge mkono,
Dada zangu wasimame wapunge mkono
Kaka zangu wasimame wapunge mkono,
Unamaliza wote kwa staili hiyo,
Angalizo ,,babu na bibi zako na shangazi Mkubwa watabulishe kipekee siyo kima fungu.
Huyo mama wakambo kama hakusimama na kupunga mkono ulipo watambulisha mama wodogo zako ukumbini hapo,asikulaumu.
Over&out
Kama ni kwa ndoa ya kiislamu sawa.Wewe unampotosha... Ni lazima kiburudisho cha babako ambacho ni currently ukipe nafasi stahiki. Namna hii: naomba kutambua uwepo wa baba mzazi, mama Mzazi na mama mlezi, wote kwa pamoja wasimame.
Mama mlezi?mmhh kama hajakulea?Wewe unampotosha... Ni lazima kiburudisho cha babako ambacho ni currently ukipe nafasi stahiki. Namna hii: naomba kutambua uwepo wa baba mzazi, mama Mzazi na mama mlezi, wote kwa pamoja wasimame.
Mama mlezi,ndo jina sahihiHabari za leo waungwana? Naomba ushauri. Assume wewe ni mtoto wa kiume uliyezaliwa nje ya ndoa. Ikatokea ukafunga ndoa. Mkiwa kwenye sherehe ukumbini, MC akakutaka uwatambulishe ndugu zako. Hapo ukumbini yupo baba yako mzazi, mama yako mzazi, mama yako wa kambo na ndugu wengine. Sasa huyu mama wa kambo utamtambulisha kama nani? Kumbuka hutakiwi kumtambulisha kwa lugha au neno litakalomuudhi au kuleta ukakasi ili kidumisha mahusiano. Asanteni.
Sasa unataka umuite nani?? Demu wa baba yako?? Ni lazima uwe na heshima ya kinafki, hata Kama humaanishi...Mama mlezi?mmhh kama hajakulea?