[/COLOR][/B]
kwa hapa sijui, lakini kwa maelezo yake mimi nimeona yule mwanamke bado anampenda mme wake ndo maana anajipendekeza kwa mama mkwe ili arudiane, si unajua wa mama na watoto wa kiume ni damu damu, anaweza mama kapewa hata rushwa ndo maana anakomaa kijana warudiane na huyo mtalaka wake. ila ningekuwa mimi ningetema mzigo aisee
Hata simfahamuNa mim pia umpe pole zangu manaake huyo dada ataendelea kuwa kwenye majaribio ya kuangalia mwanaume anaemfaa hata kwenye ndoa, kwhyo ikitokea hivyo awe mpole
akiona coment kama hii hataniambia tena habari zake, maana ataona mimi nimemwanika watu wamtukaneHii nayo ni style mpya ya umalaya !!
Samahani kwa kusema hivyo ila rafiki yako ni malaya
zitafika, tena kaondoka sasa hivi maana anafanyia kazi shinyanga jana ndo alikuja akanipa hiyo story na kuniomba ushauri eti afanyeje? nimemwambia ishi uwezavyo usiishi kwa kuangalia watu wananifikiriaje? heshima ni wewe mwenyewe ulivyo na ndoa, ni wangapi wamo kwenye ndoa jina tu kwamba ni wanandoa, ndoa ni ile ile na wanaume ni wale wale.
Congratulation my dada, wewe ni mfano wa kuigwa, wanawake tunaweza bila kuwezeshwa bwana, natamani siku moja nikukutanishe nae, na utakuwa role model wake. hadi nakutamani maisha unayoishi. nimekupenda bureMwambie pengine atakuelewa;
Wengine tupo na watoto more than ten years now
na niko peace ile mbaya; anashindwa nini ke mwenzangu.
Mwambie ajitunze mwenyewe na watoto wake;
Tena atakuwa na muda mzuri wa kuwa karibu na wanae;
Kwa hilo mi sidanganyiki kabisa; Ukishashindwa ndoa ya kwanza
usijaribu ingine, utakuja aibika na kuonekana una matatizo.
..... mpe tena salamu zangu, mwambie .....a take care herself.........