Yupo kaskazini na alikua anafanya kazi tours kama tour operator kabla ya ajiraKama yuko mikoa ambayo kuna utalii mfano kanda ya kaskazini, muambie aachane na ualimu utampotezea muda bure. Akomae ajifunze mambo ya utalii na aweke effort huko atatoboa maisha haraka sana kuliko akiwa mwalimu vijijini.
Upo best😁Mwambie asijeakaacha kazi
Nipo rafiki yangu, unaendeleajeUpo best😁
Hivi ni kweli 450k ndio mshahara wa mwl ngazi ya cheti?Primary anakunja 450k cheti then usikubali mateso Maisha ni kuishi vizuri Kama mazingira mabovu hayampatii Amani ya moyo Bora kukataa hiyo job
s useme tu ni ww tukushaul bossHabar zenu nahitaji ushauri wenu Kwa niaba ya rafiki yangu.
Ni hivi Nina rafiki yangu aliesoma ualimu ngazi ya cheti alimaliza mwaka 2018 lakini hakubahatika kupata ajira akasomea Short course ya tourism na akapata ajira kwenye kampuni niliyokua nikifanya kazi akawa anapokea salary ya 480000 plus marupurupu Kila mwezi.
Lakini June alipata kazi ya ualimu akapangiwa vijinini akaomba likizo ya miezi mitatu kazini akaenda kureport Sasa amerudi anasema mazingira magumu anataka aache ualimu arudi kazini Mimi nimeshindwa kumshauri chochote Kwa kuwa
Kwanza sijui mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti ni shilingi ngapi
Pili sijajua ni jinsi gani au baada ya muda gani atapanda daraja
Tatu sijajua ni baada ya muda gani ataweza kupata uhamisho arudi mjini
Naomba mnisaidie muongozo ili niweze kujua namsaidiaje bila kukurupuka
Asanteni
chet mia 370kAnasema mshahara mdogo na nimeona mdau hapo juu anasema 450000 na huku private analipwa 480000 Mimi naona Bora serikalini lakini hasikiii
Mwambie tu ukweli,asije akadhani akiingia ualimu kwa ngazi ya cheti,atakutana na muajiri wake,akubaliane nae milioni.Lazima Kuna kiwango.naona umeamua kulizia mshahara wa uwalimu kijanja
tambua mshahara ni siri kati ya mwajiri na mwajiriwa wake.
Mwambie akawe mwalimu then akagonganishe ruhusa ya kwenda kusoma. Tena asiishie diploma akomae hadi Bach atatoka.Habar zenu nahitaji ushauri wenu Kwa niaba ya rafiki yangu.
Ni hivi Nina rafiki yangu aliesoma ualimu ngazi ya cheti alimaliza mwaka 2018 lakini hakubahatika kupata ajira akasomea Short course ya tourism na akapata ajira kwenye kampuni niliyokua nikifanya kazi akawa anapokea salary ya 480000 plus marupurupu Kila mwezi.
Lakini June alipata kazi ya ualimu akapangiwa vijinini akaomba likizo ya miezi mitatu kazini akaenda kureport Sasa amerudi anasema mazingira magumu anataka aache ualimu arudi kazini Mimi nimeshindwa kumshauri chochote Kwa kuwa
Kwanza sijui mshahara wa mwalimu ngazi ya cheti ni shilingi ngapi
Pili sijajua ni jinsi gani au baada ya muda gani atapanda daraja
Tatu sijajua ni baada ya muda gani ataweza kupata uhamisho arudi mjini
Naomba mnisaidie muongozo ili niweze kujua namsaidiaje bila kukurupuka
Asanteni
Sasa unataka ushauri gani wakati unasema umemshauri lakini kakataa ualimu? Mwache aende anakotaka.Anasema mshahara mdogo na nimeona mdau hapo juu anasema 450000 na huku private analipwa 480000 Mimi naona Bora serikalini lakini hasikiii
Baada ya makato au
Baada ya muda gani unapata ruhusa ya kwenda kusomaMwambie akawe mwalimu then akagonganishe ruhusa ya kwenda kusoma. Tena asiishie diploma akomae hadi Bach atatoka.
Ruhusa anapata hata mwaka huohuo tu, kikubwa akacheze kiakili na M/Mkuu na Afisa Elimu kata ikibidi awashikishe hata mkwanja kidogo ili apewe ruhusa.Baada ya muda gani unapata ruhusa ya kwenda kusoma
SawaRuhusa anapata hata mwaka huohuo tu, kikubwa akacheze kiakili na M/Mkuu na Afisa Elimu kata ikibidi awashikishe hata mkwanja kidogo ili apewe ruhusa.
Hawajaongezewa tuuUkweli mshahara wa Mwalimu wa cheti itakuwa 370000 na kuendelea take home kwenye 260 hivi