Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,617
- 2,267
Mbona umeuliza kwa hasira!? Huenda ikawa hajajiridhisha. Bado anachaguachagua!!Kwahiyo mm sio mtu sahihi kwake?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeuliza kwa hasira!? Huenda ikawa hajajiridhisha. Bado anachaguachagua!!Kwahiyo mm sio mtu sahihi kwake?![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwavile kishaomba mshauri tu.Kuna vitu huhitaji kuomba ushauri.
...........
Kwahiyo nahitaji kufanyaje mkuu?Kuna vitu huhitaji kuomba ushauri.
...........
Unajidanganya wewe, mawasiliano na mzazi mwenzie ni lazima. Hata kama atakua hatokinae tena.
Nina udhaifu gani mkuu kwani unanijua?Write your reply...utaendeshwa sana na udhaifu wako
kuna baby mama wangu mmoja yupo kwa sugu huko ana upuuzi huu sana ..kama ndo huyo hapo imekula kwako..nilimpiga chini maana hajakuwa bado anajiona mzuri na ana mda bado