Mchagga hamtaki amesema anataka nyota yake tu ndio maana wanarudianaHUYO MDADA ANA AKILI APAMBANE NA HALI YAKE MI NINGEKUWA MCHAGGA NISINGERUDIANA NAYE
Hakuna kitu km hcho ww hujarogwa , unamatatizo Yako binafsi Yan watu mkishafeli mnasingizia uchawi si ukaombewe mbona makanisa mengi tuMi sijaolewa ila ushauri wachagga, wapare Hawa watu ni wachukua nyota za watu.
Ulipoolewa uliepushiwa kutolewa sadaka.
Wale wanapenda kuuana .
Yaani maisha Yao Huwa ni ya misimh .
Kuhusu mumeo ni mchaga kamloga ili uachane naye hawawatu walichonifanyia ndio usingle huu ninao hadi sasa kwanza ukienda unazimwa na kitu unakuwa zuzu Unajiona uko powa ila nyota imeshaenda kwake.
Sijaelewa hapoHUYO MDADA ANA AKILI APAMBANE NA HALI YAKE MI NINGEKUWA MCHAGGA NISINGERUDIANA NAYE
Bora Yako wewe hujasingizia makanisa yapo nenda wewe ukasake mke wapili kwani shida ipo wapi??Hakuna kitu km hcho ww hujarogwa , unamatatizo Yako binafsi Yan watu mkishafeli mnasingizia uchawi si ukaombewe mbona makanisa mengi tu
Mshaurini mwenzenu,mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono miwiliIn shaa Allah nikipata muda nitashauri KESHO NGOJA NIDIGEST KWANZA HAYA ULIYOYAANDOKA



Mkuu embu fafanua hapa kidogo,nimeshindwa kufumbua hili fumboNimesoma hii mada mpaka mwisho kwa sababu umesema mwanaume wa kichaga nikajua unanidhungumzia mie. Nilipomaliza kusoma nikajua sio mchaga Mimi kwa kweli Sina Cha kukushauri. Nachoshukuru ni kuwa sio mchaga Mimi niliyeongelewa![]()




Ww msimbe tulia jua limeshazama hiloMi sijaolewa ila ushauri wachagga, wapare Hawa watu ni wachukua nyota za watu.
Ulipoolewa uliepushiwa kutolewa sadaka.
Wale wanapenda kuuana .
Yaani maisha Yao Huwa ni ya misimh .
Kuhusu mumeo ni mchaga kamloga ili uachane naye hawawatu walichonifanyia ndio usingle huu ninao hadi sasa kwanza ukienda unazimwa na kitu unakuwa zuzu Unajiona uko powa ila nyota imeshaenda kwake.
,umekua single mama kwasababu ya ujinga wako,kwanza nyie wameru wa kisenge wakata barabara kwanza mlilaaniwa na wale wamisionari mliowauaUlisema utarudiKweli kazi unayo upo kwenye wakati mgumu. Nimekos cha kukushauri...
,huu ndio ushauri umerudi kushauri 
🤣🤣 hakuna nilichomshauri hapoUlisema utarudi,huu ndio ushauri umerudi kushauri
![]()
Mm nashindwaga kuwaelewa hawa wanaoshindwa kutofautisha H na A,hawana tofauti na huyu mtoa madaSijaelewa hapo
Umeandika ANA AKILI au una maana HANA ?
