Ushauri unahitaji kuhusu kozi hizi na vyuo hivi

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,493
2,357
Amesoma EGM na amepata matokeo haya
Economics .....D
Geography ......D
Advanced Mathematics ....F

Matokeo ya O-level ni haya
Commerce ....C
Bookkeeping ...C
Mathematics ......C
Geography ........C
English .......A
Biology .........A
English .......A
Kiswahili ....C
Civics.....
Anataka ku-apply
1.Bachelor of science in Agricultural Economy and Agribusiness inayotolewa pale Sokoine University of Agriculture . Ina uwezo wa kidahili watu 311. Kwa ushindani uliopo na falsafa ya chuo anaweza akapata nafasi ya kudahiliwa hapo chuoni?

2.Bachelor of science agricultural and natural resources economics and business. Kozi hii inatolewa University of Dar es Salaam (UDSM), ambayo ina uwezo wa kudahili watu 205 . Je anaweza akapata nafasi ya kudahiliwa?

Ni kwamba ana-Interest na masomo ya kilimo na biashara ndio maana anataka asome kati ya hizo kozi.

Je anaweza akapata mkopo? Kwani amesoma shule binafsi O-level na kwa Advanced level amesoma shule ya Serikali.

Mwenye kutia neno, ushauri,pendekezo Karibu sana.
 
Nadhani TCU wanabidi watume watu kwenye High schools kutoa elimu kuhusu kozi mbalimbali .

Wengi kipindi kama hiki huwa hawaelewi waapply nini
 
Hayo ni mapendekezo kwa mwakani. Kwa sasa ushauri unahitajika kwa huyu dogo
 
Mwambie angalie tcu guide book inasemaje kwa course anazotaka!

Swala la mkopo ni bahati yake tu ila nina uhakika akitimiza masharti yote boom atapata tu, japo sio 100% hii ni Kwa ajiri ya olevo- kusoma private

Labda awe na sababu za msingi, watamzingatia
 
Amesoma EGM na amepata matokeo haya
Economics .....D
Geography ......D
Advanced Mathematics ....F

Anataka ku-apply
1.Bachelor of science in Agricultural Economy and Agribusiness inayotolewa pale Sokoine University of Agriculture . Ina uwezo wa kidahili watu 311. Kwa ushindani uliopo na falsafa ya chuo anaweza akapata nafasi ya kudahiliwa hapo chuoni?

2.Bachelor of science agricultural and natural resources economics and business. Kozi hii inatolewa University of Dar es Salaam (UDSM), ambayo ina uwezo wa kudahili watu 205 . Je anaweza akapata nafasi ya kudahiliwa?
mkopo anawez kupata ila hawezi kupata course yoyote kati ya hizo
kwanza kwa UD hyo course inaangalia masomo mtatu then SUA kuna competition kubwa kuliko UD
Kumbuka points 4.0 ndio points chache zaidi
 
inaanzaga kama hivyo mara kipindi cha usajili kikianza unaanza kuulizia UDSM mara ya mwisho unakuja kugundua hata chuo unachokiona cha kishamba hauwezi kukipata hapo ndio unaona watu wanaanza kulia.
 
mkopo anawez kupata ila hawezi kupata course yoyote kati ya hizo
kwanza kwa UD hyo course inaangalia masomo mtatu then SUA kuna competition kubwa kuliko UD
Kumbuka points 4.0 ndio points chache zaidi
a-apply kozi gani kwa matokeo hayo??
 
Dah ila sidhan kama kwamba sua kuna competition kama udsm kwa hiyo course....2018/19 selection ya kwanz walichukua mwisho pont 9...ila sua anaweza akapata tatizo hiyo F ya math sema alabda waangalie o lev kama hajadanganya
kwa hiyo course SUA kuna competition kubwa zaidi,kumbuka kwa UD course ndio kwanza imetoa batches mbili tu,SUA ndio wakongwe wa Agriculture economy
 
unaanza kwanza kuchagua kozi then unaangalia chuo ambacho kipo vizuri kwa hiyo kozi , vijana wa siku hizi mnaanza kuchagua chuo then ndio mnaangalia mkasome nini katika chuo hiko, yani mtu anataka kusoma kilimo anaacha SUA iliaende kusoma mlimani kweli wanafunzi ni shida
 
Amesoma EGM na amepata matokeo haya
Economics .....D
Geography ......D
Advanced Mathematics ....F

Matokeo ya O-level ni haya
Commerce ....C
Bookkeeping ...C
Mathematics ......C
Geography ........C
English .......A
Biology .........A
English .......A
Kiswahili ....C
Civics.....
Anataka ku-apply
1.Bachelor of science in Agricultural Economy and Agribusiness inayotolewa pale Sokoine University of Agriculture . Ina uwezo wa kidahili watu 311. Kwa ushindani uliopo na falsafa ya chuo anaweza akapata nafasi ya kudahiliwa hapo chuoni?

2.Bachelor of science agricultural and natural resources economics and business. Kozi hii inatolewa University of Dar es Salaam (UDSM), ambayo ina uwezo wa kudahili watu 205 . Je anaweza akapata nafasi ya kudahiliwa?

Ni kwamba ana-Interest na masomo ya kilimo na biashara ndio maana anataka asome kati ya hizo kozi.

Je anaweza akapata mkopo? Kwani amesoma shule binafsi O-level na kwa Advanced level amesoma shule ya Serikali.

Mwenye kutia neno, ushauri,pendekezo Karibu sana.
Kwa hizo kozi na vyuo anavyotaka ku apply ushindani unakuwa mkubwa uwezekano wa yeye kukosa ni mkubwa kutokana na matokeo yake.

Ila vipo vyuo vingine kama SAUT ya mwanza anaweza akasoma bachelor of arts in Economics kwa mwaka wa tatu atakutana na hiyo AGROECONOMIC

Kuhusu swala la mkopo huwezekano upo wa yeye kupata kama atakuwa na uhitaji
 
Back
Top Bottom