Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

KIDHEHA

Member
Joined
May 21, 2012
Posts
51
Reaction score
14
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazazi bado anarudia, mfano wa hizo tabia ni;

Kukuibia fedha mfukoni, anatukana wazazi wako na ndugu ambao hata aishi nao, anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikii,hata mtoto wake hamjali, pesa za matumizi anabana kwa kupika vyakula vibaya.

Ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenzi, house girl hakai miezi miwili mdomo katika majirani **** sita haongei nao wabaya kwake nk, unachukua maamuzi gani kama ulishakaa nae chini hata mara kumi na zaidi bado habaliki kila siku heri ya jana?

Ushuri tafadhal
i
 
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi...unaamua kuishi nae...wakati mnasomana tabia unamsaur aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazaz bado anarudia...mfano wa hizo tabia ni kukuibia fedha mfukoni,anatukana wazaz wako na ndugu ambao hata aishi nao,anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikiii,hata mtoto wake hamjali,pesa za matumiz anabana kwa kupika vyakula vibaya ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenz,house girl hakai miez miwili mdomo...ktk majiran kum sita haongei nao wabaya kwake nk...unachukua maamuz gan kama ulishakaa nae chini hata mara kum na zaid bado habaliki kila siku heri ya jana?????????????????????????ushur tafadhal

Mkuu sijui unataka ushauri gani?!! wakati kwa mujibu wa maelezo yako kila kitu kiko wazi kuwa hapo ulipo sipo penyewe!! Fanya maamuzi kama mwanaume matured Mkuu!
 
Mkuu pamabana tu huo ndo tayar ushakuwa mzigo wako...Nasema wanaume tunakazi yaani wacha usione tu mtu anatembea katoka nyumban lakin akikwambia yanayomsibu huwezi amini..Wanawake wako complicated mnooooo na usijidanaganye umwache huyo eti utapata ambaye na afadhali BIG NO! huwa wanabalika kimatatizo utamwacha huyo kwa sababu ABCDE utaoa mwingine utakuta yeye kachanganya tu herufi anamatatizo CEFH ambayo huyo uliokuwa nae hana....Kama ulifunga nae ndoa bila shaka ulikula kiapo utamlinda na kumjali kwenye shida na raha...Sasa hapo upo kwenye wakati wa shida rejea kiapo cha ndo life liende mbele.....Kero kero keroooooo hata mi huwa nachoka kabisa.
 
Sina ndoa nae mkuu...
 
Unasubiria nini kulitimua hilo shamkupe ? Do you wait until you will be declared bankruptcy ?

Hiko kichwa kimwagie maji ya moto, kitaongeza ufanisi kwenye kufanya maamuzi
 
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazazi bado anarudia, mfano wa hizo tabia ni;

Kukuibia fedha mfukoni, anatukana wazazi wako na ndugu ambao hata aishi nao, anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikii,hata mtoto wake hamjali, pesa za matumizi anabana kwa kupika vyakula vibaya.

Ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenzi, house girl hakai miezi miwili mdomo katika majirani **** sita haongei nao wabaya kwake nk, unachukua maamuzi gani kama ulishakaa nae chini hata mara kumi na zaidi bado habaliki kila siku heri ya jana?

Ushuri tafadhal
i

Typing error hiyo, Marekebisho please!!!!!!!!!!
 
Kumbe ata haujamuoa na vitabia vyàke vigumu,achana nayee.utafuga ujinga mpk link usiobadilika..kwan girls wameisha mpk ung'ang'anie ?!
 
pole sana mkuu huyo umemzidi umri au elimu?
 
Kama mnasomana miaka 10 basi wote hamfai......
 
Huwezi jua tabia za wanawake mpaka uishi nao,pole kwa yanayo kukuta ushauri wangu ni kuwa mvutie kasi kwani kuna wengine wanabadilika baada ya muda ila wengine ndio inakuwa ndio tabia tena hakuna mabadiliko.Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa wanawake wengi sana huwa wanategemea ushauri kutoka kwa wanawake wenzao au kuiga maisha ya mwanamke mwenzie kuhusu jinsi ya kuendesha nyumba zao,sasa hili huwa linawagharimu sana na mara nyingi wamekuta wakiharibu nyumba zao kwa kuamini wanayoyafanya ndio maisha sahihi kumbe kinachohitajika ni uhalisia wake yeye kama yeye kuwa na nyumba yenye amani.
 
Back
Top Bottom