Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

Ushauri: Unafanyaje kwa mwanamke wa aina hii?

Umemuoa? kama bado unahitaji ushauri gani! manake anakuumiza kichwa hujamuoa ukimuoa je?
 
Si mnasomana tabia? Wewe umeona kwa tabia hizo hamuwezani, unasubiri nini? Ng'ata meno upige chini, chukua mtoto, akikataa endelea na yako.
 
Sasa unataka watu wakushauri nin wakati kila kitu kinajieleza kuna vijana wengine kufa kwa msongo Wa mawazo mnajitakia
 
sasa kama mnasomana huo si ndio mda wa kujaza maksi kwenye karatasi ya maswali...
 
kuzaa na mtu sio tiketi ya kuishi nae. mwanamke ana matatizo piga chini hamna namna tena. kwanini uvumilie maumivu ya mwiba kwa kuchechemea wakati unaweza kuutoa
 
Nawashukuruni sana kwa ushauri nitaufanyia kazi......bahati sikufunga nae ndoa na nimekaa nae miaka kama miaka mitatu...kuhusu elimu mimi nina masters yeye anaelimu ya form four
 
Kweli we una roho ngumu. Una haja ya kuchukua maamuzi magumu la sivyo huko mbeleni utapata zaidi ya haya unayopata kwa sasa. Kwanza usikubali kuzaa naye mtoto wa pili. Tafuta njia ya kuachana naye kwa vyoyote vile.
 
Hiyo ndio rangi yake halisi na anakuchukulia wewe kama mdogo wake maana kakuzidi miaka 10
 
Anakuona wewe meli yake wajibu wake ni kukupakya tu. Kama umeshawashirikisha wazazi wake na hajabadilika, hakufai achaba naye hutakuwa wa kwanza.
 
Hapo mbo kila kitu kiko wazi !!! nashangaa kwanini unamchelewesha.anakuona ---- huyo
 
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara ngapi kwa kuwashirikisha wazazi bado anarudia, mfano wa hizo tabia ni;

Kukuibia fedha mfukoni, anatukana wazazi wako na ndugu ambao hata aishi nao, anakuwa mchoyo wa kupindukia hasa ndugu wakija kusalimia hata kama nyama ipo kwenye friji hawapikii,hata mtoto wake hamjali, pesa za matumizi anabana kwa kupika vyakula vibaya.

Ili fedha ampe mama yake na hivi wameanza ujenzi, house girl hakai miezi miwili mdomo katika majirani **** sita haongei nao wabaya kwake nk, unachukua maamuzi gani kama ulishakaa nae chini hata mara kumi na zaidi bado habaliki kila siku heri ya jana?

Ushuri tafadhal
i

Nin cha kujifia pressure kaka..Iv ni ukweli huu au story tuuu
 
Back
Top Bottom