Ushauri: Tuzae watoto wachache ili tumudu kuwasomesha

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,600
3,651
Hivi kwa mfano unawezaje kusomesha watoto 4-10 kuanzia nursery school, Primary school, secondary school ( O and A level), University (first degree) ?. Hapo ni kwa wale watoto wenye akili wasiyo feli feli (wenyewe ni kufaulu mwanzo mwisho).
Wana JF hebu tushauriane sisi na ndugu zetu kupunguza kuzaa zaa hovyo maisha yamekuwa magumu sana.
 
Mkuu, Sioni mantik yeyote hapo! kwani kila kizazi huja na riziki yake !!
Huwezi kuchukuwa nafasi....ya Muumba !!
 
unaweza kuzaa wachache ila wakawa "vilaza"unaweza kuzaa wengi wakawa "Vichwa"ni bora uzae wengi ili ukitoa vilaza,maiti ,mazezeta,n.k utabakiwa na wachache wa kuwasomesha!
 
Kwani Magufuli kaacha kutusomeshea watoto wetu Shule? Ah Zaeni mongezeke muijaze nchi
 
Wanasema Tanzania bado haijajaa ukiangalia kuna mapori mengii yanahitajika watu waishi hizo sehemu ambazo zipo wazi
 
Back
Top Bottom