PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,522
- 13,110
Ohoooo!!!Mkoa aliozaliwa mr chuki na mkoa aliozaliwa daud aliepataga 0
Ohoooo!!!Mkoa aliozaliwa mr chuki na mkoa aliozaliwa daud aliepataga 0
Habarini wakuu!
Tanzania tuna rasilimali nyingi kama madini,mbuga za wanyama,misitu pamoja na eneo kubwa la nchi kavu,nashauri Watanzania tuuze mikoa kama mitano kwa wenzetu wa ulaya watupatie fedha naimani zitaendeleza mikoa itakayo baki kwa kiwango kikubwa
Nawasilisha.
Jaribuni hilo, hiyo mikoa mingine nayo inatamani hayo hayo mnayoyatamani ninyi na wanahisi umaskini wao unatokana na uwepo wenu kwao na janjajanja zenu. Kwani hujui kama kanda ya Mtwara wana Makonde Empire au?dawa ni mikoa ya kaskazini tujitenge zetu sisi tuwe nchi huru na Zanzibar nao wajitenge alafu hao wengine ndo wajipange
Kama tuna kila kitu na tumeshindwa kutumia bas tuuze sehemu ya ardhi yetu ili tuweze pata pesa ya maendeleo mengine...Khaaaaaa una hennessy apo pemben?maana huo ushaur si haba n added
Na kila kanda iwe na raia wa asili kabisa, mfano wagogo walioko Moro warudi kwenye kanda yao ya kati kwa kuanzia. Then, kila nchi ijitengenezee upya utaratibu wa kujipatia uraia ktk taifa lake, itakuwa poa sana. Unaonaje hapo Mkuu?Me nashaur tusiuze ila tujitenge kikanda yaan hizo kanda zijulikane kama nchi huru nakila kanda iwe nasheria zake narais wake naukitoka kanda moja kwenda iwe kama unatoka tz kwenda Kenya au nchi nyingine yoyote
Dah nihatar mkuuNa kila kanda iwe na raia wa asili kabisa, mfano wagogo walioko Moro warudi kwenye kanda yao ya kati kwa kuanzia. Then, kila nchi ijitengenezee upya utaratibu wa kujipatia uraia ktk taifa lake, itakuwa poa sana. Unaonaje hapo Mkuu?
Haya si mawazo mapya ktk nchi hii, yapo tu vichwani mwa wengi tena ktk kanda zote. Unahisi wenyeji wa Morogoro wanapenda kuishi pamoja na wamasai au hamlijui hilo? Wale wakaragwe wanaotengwa nao? Taifa la Tanzania bado changa Sana, ukabila, ukanda, udini hauna hata nchi moja toka usawa wa ngozi zetu.
Haya mahubiri na yaendelee tu, tuyapasishe kizazi hata kizazi, kama si leo kesho itafika.
Na mimi mniuziemo.Tuuze Geita,Mwanza,Shinyanga,Simiyu na Mara tupate mtaji au mnasemaje.
Wakati wewe unaleta mawazo ya kujitenga kikanda,yaani kuigawa nchi moja,wenzako wanawaza kuziunganisha nchi zao na nchi zingine ili kua na nguvu zaidi kuanzia kiuchumi mpaka kiulinzi,mfano mzuri ni muungano wa EU.Me nashaur tusiuze ila tujitenge kikanda yaan hizo kanda zijulikane kama nchi huru nakila kanda iwe nasheria zake narais wake naukitoka kanda moja kwenda iwe kama unatoka tz kwenda Kenya au nchi nyingine yoyote
Wazo lisilowezekana.... Hio mikoa itauzwa na wakaazi wake au unaona itakuwaje.Habarini wakuu!
Tanzania tuna rasilimali nyingi kama madini,mbuga za wanyama,misitu pamoja na eneo kubwa la nchi kavu,nashauri Watanzania tuuze mikoa kama mitano kwa wenzetu wa ulaya watupatie fedha naimani zitaendeleza mikoa itakayo baki kwa kiwango kikubwa
Nawasilisha.
Mkuu sisi tulishashindwa labda tukijitegemea kikanda tunaweza kubalance mapato nakupiga hatua kadhaa zakimaendeleoWakati wewe unaleta mawazo ya kujitenga kikanda,yaani kuigawa nchi moja,wenzako wanawaza kuziunganisha nchi zao na nchi zingine ili kua na nguvu zaidi kuanzia kiuchumi mpaka kiulinzi,mfano mzuri ni muungano wa EU.
Ubaya na uovu huvuma kasi ya ajabu kuliko wema na uzuri. Hii ni kanuni ya asili. Tuutangaze uovu. Kila mtu ktk kanda zote tumeshachokana.Dah nihatar mkuu
mbona Zanzibar wanataka kujitenga nao wanaukabila na ukandaTatizo lenu n ukabila na ukanda tu