1. Simple to collect.Sijui
Elezea zinaingia je, raia wangapi wanajua ITNdio
Kwenye huu mfumo kinachobadilika ni kuwa mfanyabiashara hatatumia machine EFD bali atajza taarifa za ununuzi kwenye mfumo kama kwenye EFD ikiwemo na namba ya simu ya anayenunua then aki submit mteja anatumiwa sms ya risiti yake.Elezea zinaingia je, raia wangapi wanajua IT
Unajua kwamba 90% ya wafanya biashara wetu ni darasa la saba wengi hawajui kuandika kwenye mitandaoni na hawataki kuajiri wssomi.......Kwenye huu mfumo kinachobadilika ni kuwa mfanyabiashara hatatumia machine EFD bali atajza taarifa za ununuzi kwenye mfumo kama kwenye EFD ikiwemo na namba ya simu ya anayenunua then aki submit mteja anatumiwa sms ya risiti yake.
njia rahisi ni kuacha kutumia cash katika kulipia bidhaa au hudumaHabari za wakati huu wadau wa maendeleo, leo nimekuja tena kuangazia namna TRA inaweza kuchukua hatua ili iweze kuongeza ukusanyaji wa mapato nchini. Kama tunavyojua kodi ndio inayotumika kufanya maendeleo na kugharamia shughuli za kila siku za serikali, lakini TRA inashindwa kukusanya mapato ya kutosha licha ya nchi kuwa na idadi kubwa ya biashara na watu.
Kwakuweka rekodi sawa, mimi sio mtaalam wa uchumi bali ni mtazamo na mchango wangu katika kusaidia mawazo. Nimeandika makala kadhaa moja ikiwahusu TRA iliyonifanya nishinde shindano la SoC2021, hivyo basi huu ni muendelezo wa makala zangu.
TRA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO HIZI
1. Wafanyabiashara kutotaka kutumia mashine za EFD na kutoa risiti halali za malipo.
Kwa uelewa wangu, moja ya sababu nilizozisikia ni wafanyabiashara kulalamika kuwa gharama za EFD Machine kuwa kubwa, lakini hapohapo utashangaa kwa wenye nazo hutoa visingizio mbalimbali ili tu wasikupe risiti au wapo radhi wapunguze bei kwenye bidhaa au huduma husika. Hivyo basi sababu ya gharama ya mashine ya EFD inaoesha wazi sio sababu ya msingi bali kuna kitu kingine ambacho wafanyabiashara wanakikwepa.
2. Wananchi kutotilia maanani kudai risiti halali wakati wa manunuzi ya huduma au bidhaa.
Kwa updande wa wananchi kupuuzia kudai risiti halali ya malipo yaliyofanyika sijajua changamoto ni nini au labda hawana sababu ya kuchukua kwakua achukue au asichue hakuna utofauti. ila wananchi wenzangu kutodai risiti kunaikosesha serekali mapato.
TRA NA SEREKALI IAMUE KUFANYA HIVI ILI KUONGEZA MAPATO
1. Serekali iamue kutengeneza mfumo wa tehama utakao unganisha taarifa za wananchi na wafanyabiashara na ufanyekazi kama ifuatavyo.
Mwanachi atakapoenda kununua bidhaa au huduma, mfanyabiashara atatumia mfumo nilioutaja hapo juu kupita App ya TRA kuingiza manunuzi husika na risiti itatumwa kwanjia ya ujumbe mfupi wa maneno. Mfumo utamrudishia mwananchi 1% ya kodi(VAT) aliyotozwa kwenye manunuzi husika. Njia hii itawafanya wananchi wapendelee kudai risiti kwasababu wanajua watarudishiwa 1% ya kodi aliyochangia na hatimae kuifanya serekali kuongeza mapato. Najua kutakua na mswali mengi, nimeshindwa kuelezea kilakitu jinsi mfumo utakavyofanyakazi hivyo nitajibu maswali kadiri nitakavyoweza.
2. Elimu kwa walipa kodi hasa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno au sponsored Ads. Sikumbuki kama niliwahi kutumiwa ujumbe na TRA wa kunisisitiza kudai risiti ninapofanya manunuzi kama taasisi nyingine zinavyofanya kama TCRA au POLISI huwa wanatuma sana SMS.
3.Kuacha kutumia hardware za EFD bali kutumike Web au Mobile App au ikiwezekana USSD kukamilisha manunuzi na mnunuaji kutumiwa ujumbe papohapo wa risiti halali.
Hivyo basi wananchi wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi yetu, tusisubiri kufadhiliwa na mataifa mengine au serekali kukopa fedha.
Naomba kuwasilisha hoja sasa.
kwahiyo unataka kusema EFD machine pia hawawezi kuzitumia? Maana kwenye mfumo anachojaza ni bidhaa, bei na namba simu ya mteja tu. Kama ambavyo angejaza kwenye EFD machine.Unajua kwamba 90% ya wafanya biashara wetu ni darasa la saba wengi hawajui kuandika kwenye mitandaoni na hawataki kuajiri wssomi.......
Efd mashine hazina maelezo megi na wadarasa la pili anaweza kuzitumiakwahiyo unataka kusema EFD machine pia hawawezi kuzitumia? Maana kwenye mfumo anachojaza ni bidhaa, bei na namba simu ya mteja tu. Kama ambavyo angejaza kwenye EFD machine.
Taarifa anazojaza kwenye EFD ndio hizo hizo atajaza kwenye App ya TRA utofauti ni kuwa kwenye EFD aki submit inatoka risiti ya karatasi ila kwenye huu mfumo utatuma sms automatically kwa mteja simple as thatEfd mashine hazina maelezo megi na wadarasa la pili anaweza kuzitumia
Hakutakua na utofauti kama mtu akitumia efd machine na website kwaasababu mwenye bidhaa hiyo ndio ataamua maan yey ndo atajaza bei ya iiyo bizaa hapo ujatatua tena mdo utakua umeongeza tatizoHabari za wakati huu wadau wa maendeleo, leo nimekuja tena kuangazia namna TRA inaweza kuchukua hatua ili iweze kuongeza ukusanyaji wa mapato nchini. Kama tunavyojua kodi ndio inayotumika kufanya maendeleo na kugharamia shughuli za kila siku za serikali, lakini TRA inashindwa kukusanya mapato ya kutosha licha ya nchi kuwa na idadi kubwa ya biashara na watu.
Kwakuweka rekodi sawa, mimi sio mtaalam wa uchumi bali ni mtazamo na mchango wangu katika kusaidia mawazo. Nimeandika makala kadhaa moja ikiwahusu TRA iliyonifanya nishinde shindano la SoC2021, hivyo basi huu ni muendelezo wa makala zangu.
TRA INAKABILIWA NA CHANGAMOTO HIZI
1. Wafanyabiashara kutotaka kutumia mashine za EFD na kutoa risiti halali za malipo.
Kwa uelewa wangu, moja ya sababu nilizozisikia ni wafanyabiashara kulalamika kuwa gharama za EFD Machine kuwa kubwa, lakini hapohapo utashangaa kwa wenye nazo hutoa visingizio mbalimbali ili tu wasikupe risiti au wapo radhi wapunguze bei kwenye bidhaa au huduma husika. Hivyo basi sababu ya gharama ya mashine ya EFD inaoesha wazi sio sababu ya msingi bali kuna kitu kingine ambacho wafanyabiashara wanakikwepa.
2. Wananchi kutotilia maanani kudai risiti halali wakati wa manunuzi ya huduma au bidhaa.
Kwa updande wa wananchi kupuuzia kudai risiti halali ya malipo yaliyofanyika sijajua changamoto ni nini au labda hawana sababu ya kuchukua kwakua achukue au asichue hakuna utofauti. ila wananchi wenzangu kutodai risiti kunaikosesha serekali mapato.
TRA NA SEREKALI IAMUE KUFANYA HIVI ILI KUONGEZA MAPATO
1. Serekali iamue kutengeneza mfumo wa tehama utakao unganisha taarifa za wananchi na wafanyabiashara na ufanyekazi kama ifuatavyo.
Mwanachi atakapoenda kununua bidhaa au huduma, mfanyabiashara atatumia mfumo nilioutaja hapo juu kupita App ya TRA kuingiza manunuzi husika na risiti itatumwa kwanjia ya ujumbe mfupi wa maneno. Mfumo utamrudishia mwananchi 1% ya kodi(VAT) aliyotozwa kwenye manunuzi husika. Njia hii itawafanya wananchi wapendelee kudai risiti kwasababu wanajua watarudishiwa 1% ya kodi aliyochangia na hatimae kuifanya serekali kuongeza mapato. Najua kutakua na mswali mengi, nimeshindwa kuelezea kilakitu jinsi mfumo utakavyofanyakazi hivyo nitajibu maswali kadiri nitakavyoweza.
2. Elimu kwa walipa kodi hasa kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno au sponsored Ads. Sikumbuki kama niliwahi kutumiwa ujumbe na TRA wa kunisisitiza kudai risiti ninapofanya manunuzi kama taasisi nyingine zinavyofanya kama TCRA au POLISI huwa wanatuma sana SMS.
3.Kuacha kutumia hardware za EFD bali kutumike Web au Mobile App au ikiwezekana USSD kukamilisha manunuzi na mnunuaji kutumiwa ujumbe papohapo wa risiti halali.
Hivyo basi wananchi wenzangu tuendelee kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi yetu, tusisubiri kufadhiliwa na mataifa mengine au serekali kukopa fedha.
Naomba kuwasilisha hoja sasa.
Kwasababu utapata sms ya risiti papohapo, utaona bei aliyokuandikia ikiwa tofauti unamwambia akuandikie ya kiasi kilicho pungua papohapoHakutakua na utofauti kama mtu akitumia efd machine na website kwaasababu mwenye bidhaa hiyo ndio ataamua maan yey ndo atajaza bei ya iiyo bizaa hapo ujatatua tena mdo utakua umeongeza tatizo