Ushauri: Tatizo la kutojiamini

Soma vitabu vya dini, jiamiani, iweke hiyo hali katika maombi, pia usiikubali hiyo hali kwamba ni yakwako fanya mabadiliko. Halihilo itaisha

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Asante sana

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Aisee bro hyo altitude ni ya hatar japo naona pia itasaidia. Thanks bro

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Dogo...this world has never been fair especially for ppl like you..if they are not on your side why cant they be your enemies once and for all?

Lazima ukubali kujipenda wewe kwanza na usiruhusu adui akufanyie shambulio liwe la kudhuru mwili au hata kushusha urijali wako kosaikolojia... adui ni adui tuu.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Pia labda una mawazo mengi yanayochangia kutokuwa na concentration nzuri unapofanya jambo.

Ili uweze kukumbuka vizuri jitahidi kuondoa mawazo uliyonayo unapofanya jambo.

Kiujumla ni kuwa makini unapofanya jambo kitu ambacho kitakusaidia kukumbuka na kuwa na uhakika na kitu ulichofanya.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Best advice ever

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Oky muda wangu wakulala ndyo huu....ila ntext inbox your life na parenting style umepitia experience za utotoni na za kishule kesho ntajua wapi pa kuanzia ktk therapy

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
Jamiiforum waningia watu mbali mbali kwa faida ya wengi na vizazi vijavyo ungeandika hapa hapa tu

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi Nina tabia kama uliyoiongelea kwenye namba tatu... nafanyaje kuishida hii tabia
 
Pamoja bro, Sharp but Safe.

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Asante mkuu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Mkuu mm Nina tabia kama uliyo iongelea kwenye namba tatu ...nafanyaje kuishida hii tabia
Kumbe tupo wengi

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Hapana, mama alfark nikiwa na miaka minne kama sio mitano, nmepitia kwny mikono ya bibi na mdugu wengin

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Most of the time mtu aliepitia mazingira hayo huwa na hisia kama zako
Muhimu anza kujifunza kujenga confidence taratibu,anza na group la watu wache kama watatu then ongeza no up to six
Baada ya muda utazoea....ukiruudisha fbback tutakwenda hatua ya pili...jarb kwa
miez mitatu
 
Jitahidi uwe unajiamini zaidi

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
Ni hatua kubwa kwanza pale tu ulipotoka na kuandika hapa chukua hatua ya pili utashinda
 
Nashukuru wakuu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Asante sana ndugu, still me ni mwanafunz second year. Na hayo unayoyasema yote kama unanizungumzia mm. Asante nashukuru kwa ushaur ntaufanyia kazi

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
We ni mwenzangu kabsaa, ila mimi nahisi nimeanza kupata confidence kidgo baada ya kujichanganya na kukaa na watu tofauti tofauti so najikuta na mimi. Nina uwezo atlist wa kujilezea ila tatizo kama lako bado linanitesa…!!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta demu utajiamini hatari na pia kuwa msocial japo kuna stress nying utapata kwenye relationship lakin ndivo utakavyokuwa strong,,huwez ukaepuka mahusiano

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka hauko peke yako uliekulia maisha hayo, ila watu wanajifunza kugeuza mabaya kuwa mazuri, hata hao ambao hawakupongezi kwa jitihada zako katika masomo pia washukuru na wabariki maana ndio hao wanakufanya ufanye bidii zaidi.
Shukuru walikupa ugali ulipokuwa na jaa
ulikulia sehem ambayo unaita nyumbani/kuna watt wa mitaani wengi tu kwa nini si wewe
Upo chuo, wangapi wamekosa chuo hali wanajiamini ki akili/darasani na kimaisha
Wangapi wanatamani hiyo nafasi uliofikia? mtaani kwako, familia yako? kanisani/msikitini.
Jifunze kwenda kushiriki mambo na vijana wenzio, taratibu utafika sehem unayotaka, pia michezo ni muhim kama wadau wengine walivyosema.
 
Asante sana nashukuru sana ndugu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…