Ushauri: Tatizo la kutojiamini

Hahah, au sio, issue ni ubishi tu. Ntajarbu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Bisha kwa hoja...kama huna hoja za kutosha utatolewa kwenye reli na hapo utaufyata na kuwa mbwa koko badala ya mwoga which is terribly bad.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Acha kumtisha mtoto...hana tatizo lolote huyo...waoga munawajua munawasikia....kuna watu hata jina lake likitajwa haja ndogo inamtoka hao ndio wagonjwa....huyu anajibu kila hoja munamuona muoga...by the way kila mtu ana level yake ya uoga...yupo asiyemwogopa simba ila anaogopa jongoo au mjusi.
Mie na ushujaa wangu namuogopa kinyonga balaa....kwahiyo na mie ni muoga?
Nani kati yetu haogopi teat au hata interview za makazini...nani hayuko nervous kwenye presentation yoyote ile?
Acha kumtia woga mtoto....elewa anakuwa na baadae atakuwa better than you.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Achana na upuuzi huo dogo...hawa watu wapo kukutisha tu hakuna lolote....hawa saikolojisti hawa ni tatizo lingine. Tanzania na africa hatuna maradho hayo ya wazungu....maradhi yanayotokana na malezi mabovu. Hope wewe sio mzungu wala huna unusu wa watu weupe wa ulaya.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
ukipost kule jukwaa la elimu utafundishwa namna ya kujiamini, huku utapendwa au kuchukiwa tu
 
Mwanafunz wa chuo unashindwa kuelewa chanzo ni nn...
Anyway sababu nyingi huwa ni mapenz na hali ya maisha
 
Umelelewa na wazaz wote wawili baba na mama
Hapana, mama alfark nikiwa na miaka minne kama sio mitano, nmepitia kwny mikono ya bibi na mdugu wengin

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Asante kwa ushaur mzuri ndugu, kiukweli naanza kupata sources mbalimbali kuhusu hili tatizo. Kweli back home soma yangu ni ya kutishwa sana,
hakuna mtihani nliowah kupongezwa kwa kufauru kuanzia Form four mpaka napita form six na sasa niko chuon. Nntaambiwa tu we ulikua mzembe ndio maana umefaul kwa daraja flan lakin Si hongera wala ushaur kuhusu kufanikiwa zaid

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Kwahiyo hata demu huna?

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Nnae, ila sipo Karb nae sana coz naona atanidharau

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Huwexi kuwa mbishi kama huna hoja upstairz....mie mbishi na full nondo kichwani so kila idara ukigusa nipo fresh....pia kiburi na kujiona you are the best while the rest are good and better.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Yes najua bro, tena kwakua nachua Bachelor of Law huwa najikutaga mpole hata kama kitu naelewa

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Wasiwasi ndio akili dogo!

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
pole sana, hata mimi nilikuwa na shida kama hiyo, cha msingi ni kujielewa tu. Ukijielewa tatizo litaisha.
 
Nnae, ila sipo Karb nae sana coz naona atanidharau

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
Demu anamdharau mwanaume asiyempiga dudu ipasavyo na si vinginevyo.

ukidhani demu atakudharau sababu huna akili umekosea...kuna mademu wanawakimbia maprofesa na kwenda kumegwa na machizi std 7 au elimu hana.
Wapo mademu wanawakimbia mabilionea wanaenda kufuata muhogo wa jangombe kwa fukara wasukuma mkkoteni au madereva wa guta...

dogo kuanzia leo usimuogope demu wala huitaji heshima ya demu kwa pesa uzuri au akili zako....
heshima ya demu unaipata kitandani...mkune vizuri mkojoze hapo utaheshimika kama mfalme.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Dogo wewe sio kwamba hujiamini..sema huna kiburi na majibubya shombo...mtu asipokupongeza unapungukiwa nini? Au aliyepongezwa aliongezeka kg ngapi?

Unamuachaje std 7 wa kiijini kwenu awe anko au shangazi akuambie kuwa wewe mzembe ndio maana hukupata dvsn 1 umepata 2 au 3?
Kwann usimjibu kuwa wewe uliyepata 1 first class mbona uoo hapa kijijini umeajiriwa kunikosoa mie...

mwambie pia aliyekupa wewe ndiye kaninyima mimi ila safari inaendelea...au mwambie wote tukipata 1 nani apate ziro?

Kuwa mbishi na simamia na pia ridhika na kidogo ulichopata wakati kimyakimya unakifanyia kazi kinazidi kuwa great.

aisee inabidi uje uishi na mie hata siku 3 ujifunze ubishi kiburi majibu ya busara na shombo kwa wapuuzi.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mtaalam wa saikolojia, inawezekana wakati wa makuzi (utoto hadi sasa) uliathiriwa na kitu /jambo fulani

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama haya uliyoandika ndiyo unayafanya basi tunafanana na mimi
 
Ulienda jandoni ukiwa na umri gani kijana?
Sio njia ya kumsaidia mwenzako
Ila ni vichekesho binafsi umenivunja mbavu ww nizaid ya jot.[emoji12]

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Soma vitabu vya dini, jiamiani, iweke hiyo hali katika maombi, pia usiikubali hiyo hali kwamba ni yakwako fanya mabadiliko. Halihilo itaisha

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Aisee bro hyo altitude ni ya hatar japo naona pia itasaidia. Thanks bro

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Tafuta mtaalam wa saikolojia, inawezekana wakati wa makuzi (utoto hadi sasa) uliathiriwa na kitu /jambo fulani

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Sawa sister

sent from my Brilliant Brain using JamiiForums Mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…