Ushauri: Tangu nimekutana nae kanipotezea kimya

Ushauri: Tangu nimekutana nae kanipotezea kimya

Kwa jinsi ulivyojielezea ni kama hukumpa hela Wala hikumfurahisha na outing yako kwa vile Huna hela bado huna ajira na mwisho hukumridhisha kitandani mkuu usijipe moyo. Ungemridhisha kitandani labda, nasema Tena labda, angeweza kukuvumilia na kukosa kwako hela
fact
 
Unatuomba sie ushauri uendelee kufanya uasherati? Mtafute shetani atakushauri pumbavu kabisa
 
Unatuomba sie ushauri uendelee kufanya uasherati? Mtafute shetani atakushauri pumbavu kabisa
mbumbumbu kabisa wewe!
kawiyo unaona wivu sana mimi kuwagonga hao?
njoo nawewe kama unahitaji
 
Salamu wakuu,

Napenda kujitokeza kwenu ili niweze kupata mawazo chanya yatakayonisaidia kuokoa uhusiano wangu na dada mmoja mrembo sana niliyekutana naye katika mtandao maarufu sana wa kijamii FACEBOOK.

Ni wiki sasa tangu nilipofanikiwa kutoka na binti huyo siku mbili tu baada ya yeye kuniomba urafiki na kuanza kuchati nae.

Mrembo huyu mwenye msambwanda wa haja aliyenidatisha sana hadi nikaamua kutumia njia mbalimbali ili kufanikisha nikampata ikiwemo uongo kua mimi ni mfanyakazi serkalini kumbe ni mwalimu wa sanaa ninayesubiri ajira zifunguliwe nami nipate kwa kujishikiza kuendesha maisha ya kila siku.

Basi wikiend hii tulipanga kuonana kwa mara ya kwanza na siku hiyo nilifanikiwa kuonja papuchi kiukweli nilimfaidi sana na kimuonekano tu alifurahisa tendo, ni mtoto mmoja ivi mrembo sana.

Nilionjeshwa tu penzi lake na nikafurahia sana, na baada ya hapo niliwasiliana nae tu siku hiyohiyo usiku kwani siku zilizofuata alikua hajibu meseji za kawaida, messenger hadi wasap kote kimya huku sms zikionekana kupokelewa na mtu yupo hewani! Hapa najuta bora tu angepita kando kuliko kunionjesha tu nakunipotezea.

Wakuu naombeni ushauri, nifanyeje ili niendelee kufaidi penzi la huyu mrembo kwani hapa kanichanganya akili kabisa na sikumfanyia chochote kibaya kwani huduma zote alizohitaji nilimtimizia.
Acje kua kakuachia gonjwa baya hana shida tena na ww anatafuta wengine
 
mimi naziamini mkuu sijui wewe huko!
hua siuzi game kizembe
Binafsi siamini chochote ,najihamini Mimi tu mambo ya kinga sijui mpenzi mmoja yote siamini hata kidogo najiamini mwenyewe tu tuache zinaa Mkuu
 
Wee ndugu,
1. Atakuwa alitarajia utamuachia pesa nyingi kuliko wale wanaompa huko kwao....wewe ukafanya kinyume
2. Ni mgonjwa huwa hapati vidume mitaani kwao, hivyo hujirahisisha kwa wageni wanaompaparikia....wewe umefanya zaidi ya hapo
3. Wazuri ni wengi akaona amebahatika akijua utakuwa Bonge la HB, kumbe wewe ndio wale waliokulia kwa akina bibi yaani chai kwako ni kiporo cha ugari na maharage...Mtoto wa watu akaona akupe iwe mwanzo na mwisho.....inakupasa utulie
3. Hata mm ilinitokea nikapenda Mtoto pale Moro mjini, kila MTU alikuwa ananiangalia vibaya.....nikaja gundua baadae kuwa Toto lile lilikuwa gonjwa alipokuwa akisoma kilakala alikiwa akitoka na waalimu na huo ugonjwa kwao wanaelewa....hhahaha, nashukuru niliokuwa naishi nao wakashauri dogo nisiwe na papara kuwahi kulala naye, kaja siku moja tupo na marafiki geto kaja kalala kitandani nikawasihi marafiki wasiondoke ndio pona yangu.....kesho kutwa akanisaliti kwa jirani yangu.....ndpo story zake zote zikatoka.......weeeeeh, jamaa aliacha chuo akarudi kwao Zanzibar maana alikuwa akiitwa marehemu mtarajiwa......nawe kuwa makini na vitu vizuri
 
Salamu wakuu,

Napenda kujitokeza kwenu ili niweze kupata mawazo chanya yatakayonisaidia kuokoa uhusiano wangu na dada mmoja mrembo sana niliyekutana naye katika mtandao maarufu sana wa kijamii FACEBOOK.

Ni wiki sasa tangu nilipofanikiwa kutoka na binti huyo siku mbili tu baada ya yeye kuniomba urafiki na kuanza kuchati nae.

Mrembo huyu mwenye msambwanda wa haja aliyenidatisha sana hadi nikaamua kutumia njia mbalimbali ili kufanikisha nikampata ikiwemo uongo kua mimi ni mfanyakazi serkalini kumbe ni mwalimu wa sanaa ninayesubiri ajira zifunguliwe nami nipate kwa kujishikiza kuendesha maisha ya kila siku.

Basi wikiend hii tulipanga kuonana kwa mara ya kwanza na siku hiyo nilifanikiwa kuonja papuchi kiukweli nilimfaidi sana na kimuonekano tu alifurahisa tendo, ni mtoto mmoja ivi mrembo sana.

Nilionjeshwa tu penzi lake na nikafurahia sana, na baada ya hapo niliwasiliana nae tu siku hiyohiyo usiku kwani siku zilizofuata alikua hajibu meseji za kawaida, messenger hadi wasap kote kimya huku sms zikionekana kupokelewa na mtu yupo hewani! Hapa najuta bora tu angepita kando kuliko kunionjesha tu nakunipotezea.

Wakuu naombeni ushauri, nifanyeje ili niendelee kufaidi penzi la huyu mrembo kwani hapa kanichanganya akili kabisa na sikumfanyia chochote kibaya kwani huduma zote alizohitaji nilimtimizia.
MaY be unAmsujudia sana na kupagawa mpaKa unakosa kiasi matokeo yake anakuona limbukeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom