Sinai
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 288
- 47
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, jana mida ya saa 10 hivi jioni aliniomba ushauri, yeye anataka kufuga kuku kwa kuwa amekuwa mtu mzima sasa! Anaomba ushauri, atafute kuku wa aina gani? Je aende kwao kijijini huko Songea kutafuta kuku wa kienyeji au abebe kuku wa kisasa hapa hapa mjini? Je kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji yupi anafugika kirahisi? Na niyupi mtamu kwa kumla zaidi ya mwingine?
Nawasilisha wadau!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Nawasilisha wadau!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1