Mwoe namba moja kukufanyia kila kitu sio kumsahau wa mwanzo so mwambie ukweli namruhusu apate mwingine unafikiroa tu huyo dada aje gafla kufanya yote hayo sianakukomoa huwezi lala asubuhi ukamka akawa amekuandalia hayo yote urudi ukute kaleta vitu vyake vyote nope huyo nianamatatizo poleni ila maisha yaendi hivyo maisha nikujipanga.
Maisha hukurupuki tulia na uliyenaye .
Nakama anashida msaidie kabisa kwa moyo mweupe ila kuacha kitu kwa msala upitao sio dili.