Wakuu nina vijana wangu wawili, wa kike na wa kiume. Wote wako high school sasa. Kimasomo naona kama wanaenda vizuri ila kimaadili napata shaka kidogo hadi nimeamua kuomba muongozo kwa wadau wenzangu hapa.Wako shule tofauti na huwa nawasiliana nao kwa simu, call na texts.
Sasa mimi baba yao nilikuwa nyuma kidogo na hii technology ya whatsApp, simu yangu ilikuwa haisupport hii huduma halafu pia nilikuwa sina munkari nayo kivile. Sasa majuzi hapa nimenunua simu ya kisasa kuliko niliyokuwa nayo mwanzo ni hizi smartphone.
Sasa na mimi ndo sasa nikaamua kujiunga na haya ma-whatsApp. Katika kupekenyua huku na kule si nikaingia kwenye profile zao, daah. Vilivyoko huko sikutegemea kabisa, hayo maneno sasa ya malavidavi kwenye status zao, na yanavyobadilishwa kila siku, khaa nimechoka mwili na roho na hizo picha hivyo vivazi sasa ndo mimeishiwa nguvu kabisa, hata sijawahi waona wakivivaa nyumbani na hata sijui wanavipata wapi.
Kama mzazi najitahidi sana kuongea na wanangu, hadi huwa najipa imani kuwa wananielewa ila haya mambo yao ya kwenye mitandao ndo yamenipa mashaka sasa. Sijawauliza chochote hao watoto na wala hata wife sijamshirikisha. Nimeona nije kwanza kupata ushauri wenu kwa kunijibu mambo yafuatayo.
Je na wewe kama mzazi ulishawahi ona mambo kama hayo kwa vijana wako we uliyachukuliaje.Je haya ni mambo ya kawaida tu katika ulimwengu wa sasa hivyo niyapuuze,je nifanyeje mimi kama mzazi.
NB: Team kuponda tafadhali piteni tu huko pembeni, nitawashukuruni sana.
Wakuu
nina vijana
wangu wawili, wa kike na wa kiume. Wote wako high school sasa. Kimasomo
naona kama wanaenda vizuri ila kimaadili napata shaka kidogo hadi
nimeamua kuomba muongozo kwa wadau wenzangu hapa.Wako shule tofauti na
huwa nawasiliana nao kwa simu, call na texts.
Sasa mimi baba yao nilikuwa nyuma kidogo na hii technology ya whatsApp,
simu yangu ilikuwa haisupport hii huduma halafu pia nilikuwa sina
munkari nayo kivile. Sasa majuzi hapa nimenunua simu ya kisasa kuliko
niliyokuwa nayo mwanzo ni hizi smartphone.
Sasa na mimi ndo sasa nikaamua kujiunga na haya ma-whatsApp. Katika
kupekenyua huku na kule si nikaingia kwenye profile zao, daah. Vilivyoko
huko sikutegemea kabisa, hayo maneno sasa ya malavidavi kwenye status
zao, na yanavyobadilishwa kila siku, khaa nimechoka mwili na roho na
hizo picha hivyo vivazi sasa ndo mimeishiwa nguvu kabisa, hata sijawahi
waona wakivivaa nyumbani na hata sijui wanavipata wapi.
Kama mzazi najitahidi sana kuongea na wanangu, hadi huwa najipa imani
kuwa wananielewa ila haya mambo yao ya kwenye mitandao ndo yamenipa
mashaka sasa. Sijawauliza chochote hao watoto na wala hata wife
sijamshirikisha. Nimeona nije kwanza kupata ushauri wenu kwa kunijibu
mambo yafuatayo.
Je na wewe kama mzazi ulishawahi ona mambo kama hayo kwa vijana wako we
uliyachukuliaje.Je haya ni mambo ya kawaida tu katika ulimwengu wa sasa
hivyo niyapuuze,je nifanyeje mimi kama mzazi.
NB: Team kuponda tafadhali piteni tu huko pembeni, nitawashukuruni sana.
Mkuu usinihukumu kwa lugha niliyotumia, yaani ulitaka niandike kiheshimaheshima ndo ujue mi mtu mzima nastahiri kuwa na watoto wa rika hilo??
Anyway whether it's a cooked story, still I believe there are people who will learn something out of this shit story of mine. We changia tu kwa roho nyeupe ukiamini kuna mtu atajifunza not necessarily mie, story ngapi hapa mkuu ni feki lakini bado tunachangia
Kuna uzi nimeuanzisha wa mambo haya haya ya high school jaribu kuupitia ngoja nisome afu nitoe ushauri.
Wakuu nina vijana wangu wawili, wa kike na wa kiume. Wote wako high school sasa. Kimasomo naona kama wanaenda vizuri ila kimaadili napata shaka kidogo hadi nimeamua kuomba muongozo kwa wadau wenzangu hapa.Wako shule tofauti na huwa nawasiliana nao kwa simu, call na texts.
Sasa mimi baba yao nilikuwa nyuma kidogo na hii technology ya whatsApp, simu yangu ilikuwa haisupport hii huduma halafu pia nilikuwa sina munkari nayo kivile. Sasa majuzi hapa nimenunua simu ya kisasa kuliko niliyokuwa nayo mwanzo ni hizi smartphone.
Sasa na mimi ndo sasa nikaamua kujiunga na haya ma-whatsApp. Katika kupekenyua huku na kule si nikaingia kwenye profile zao, daah. Vilivyoko huko sikutegemea kabisa, hayo maneno sasa ya malavidavi kwenye status zao, na yanavyobadilishwa kila siku, khaa nimechoka mwili na roho na hizo picha hivyo vivazi sasa ndo mimeishiwa nguvu kabisa, hata sijawahi waona wakivivaa nyumbani na hata sijui wanavipata wapi.
Kama mzazi najitahidi sana kuongea na wanangu, hadi huwa najipa imani kuwa wananielewa ila haya mambo yao ya kwenye mitandao ndo yamenipa mashaka sasa. Sijawauliza chochote hao watoto na wala hata wife sijamshirikisha. Nimeona nije kwanza kupata ushauri wenu kwa kunijibu mambo yafuatayo.
Je na wewe kama mzazi ulishawahi ona mambo kama hayo kwa vijana wako we uliyachukuliaje.Je haya ni mambo ya kawaida tu katika ulimwengu wa sasa hivyo niyapuuze,je nifanyeje mimi kama mzazi.
NB: Team kuponda tafadhali piteni tu huko pembeni, nitawashukuruni sana.
Anayejua ki-Jet Li anitafsilie hapa please, anasema nini huyu?bila shaka webutakuwa ni DADY sio FATHER..! au DINDI!!!
wasubiri warudi toka likizo then:
Kaa na binti mwambie maadam keshaanza malavidavi basi kakua tayari so responsibility yako kwake imeisha hususani kwa upande wa finance. mwambie natural law inasema mwanamme anatakiwa kumsupport mpenzi wake so hao anaoflirt nao wanawajibika kumsupport kwa mambo yote..kama hakubaliani na hilo basi awe subject kwa amri na matakwa yako mpaka hapo muda utakapofika wa yeye kuwa independent
kaa na bin
mwambie maadam keshaanza mambo ya maden na kwa kuwa wanaume tunawajibika kuwasupport wapenzi wetu hivyo obviously atakuwa anawatoa kifedha so inaelekea ana means za kupata hela kwa hiyo azitumie means hizo kupatahela ya kutosheleza mahitaji yake yote yakiwemo na ya mademu zake
Unajua nini? wakichuja hayo yote watagundua kuwa kitu muhimu kwao ni hudunma wanayoipata kwako ikiwemo ada, pocket money na mwongozo in general.....na hiyo ndo nguvu ya fedha baba
Do I sound like Hitler in "THE FINAL SOLUTION"?
Pole sanaWakuu nina vijana wangu wawili, wa kike na wa kiume. Wote wako high school sasa. Kimasomo naona kama wanaenda vizuri ila kimaadili napata shaka kidogo hadi nimeamua kuomba muongozo kwa wadau wenzangu hapa.Wako shule tofauti na huwa nawasiliana nao kwa simu, call na texts.