umeona eeh
Asante kwa ushauri mdau
Kama umesoma vizuri maelezo yangu, nimesema wakiwa home wanavaa vizuri tu kwani nilishaongea nao khs suala la mavazi. Tena nisingejua kuwa wanavaaga hivyo huko, ni vile nimeingia kwenye profile zao na kuangalia picha zao wanazoweka huko PLUS maneno wanayoandika kwenye status zao
hebu fanya fanya unipatie namba ya huyo mtoto wako wa kike wa high school aisee...!!
haya babaNB: Team kuponda tafadhali piteni tu huko pembeni, nitawashukuruni sana.
Ukiona wanavaa hivyo mbali na nyumbani basi jue hawapo katika hali mbaya ila ni ujana tu unawasumbua kikubwa ni kukaa nao kiurafiki na kuzidi kuwasisitiza namna ya kuishi maisha mazuri na kufikia malengo yao. Mie nina imani kama mtoto atakuwa suported aweze kufikia malengo yake na kila muda unamuuliza maendeleo yake na wapi amekwama huwa wanakwenda vizuri. Kiukweli hata sie tulikuwa watukutu though mbele ya wazazi tulikuwa watakatifu. Hao hujachelewa mkuu tumia mbinu ya kiungwana sio ile ya kibabeKama umesoma vizuri maelezo yangu, nimesema wakiwa home wanavaa vizuri tu kwani nilishaongea nao khs suala la mavazi. Tena nisingejua kuwa wanavaaga hivyo huko, ni vile nimeingia kwenye profile zao na kuangalia picha zao wanazoweka huko PLUS maneno wanayoandika kwenye status zao
Ukiona wanavaa hivyo mbali na nyumbani basi jue hawapo katika hali mbaya ila ni ujana tu unawasumbua kikubwa ni kukaa nao kiurafiki na kuzidi kuwasisitiza namna ya kuishi maisha mazuri na kufikia malengo yao. Mie nina imani kama mtoto atakuwa suported aweze kufikia malengo yake na kila muda unamuuliza maendeleo yake na wapi amekwama huwa wanakwenda vizuri. Kiukweli hata sie tulikuwa watukutu though mbele ya wazazi tulikuwa watakatifu. Hao hujachelewa mkuu tumia mbinu ya kiungwana sio ile ya kibabe
yaani mijitu mingine inakera!! utafikiri limeitwa!
kwanini umewanunulia simu watoto wa shule, na kama jibu eti uwasiliane nao, je unawasiliana nao kitu gani au ndo ile kusalimiana tu. Nakushauri wakija likizo chukua simu zote na uwaeleze kwann umechukua maamuzi hayo.
ila siku hivi umezidi ndg yangu, yaani we kila uzi masihara masihara tu aisee!!!