Anza kuweka booking ya cello pale segerea au ukonga.
Watu kama wewe mpo wengi sana kwenye hii dunia elimu huna umetoka kwenye broken family unakwenda disco unachukua demu hujatumia hata kinga.Huyo mwanafunzi ana umri gani?
Hebu nambie hapo umaskin utaisha kweli...matatizo juu ya matatizo..duuh