Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Mimi nipo above 30, sijaoa bado.Mkuu bado mambo ya kurithishana yanaendelea
Swali muhimu wewe je umeoa kwanza au bado halafu ushauri ufuate
Mimi nipo above 30, sijaoa bado.
Sijamjibu kitu, nimepiga kimya tu.ukamjibu nini?
Asante mkuu!\Mkuu hapo naamini wewe una mchumba mtarajiwa na una matarajio ya kuwa na familia yako
kaka yako tayari ana watoto watatu na huyo mwanamke na sidhani kwa hali ilivyo ungependa wewe uingie kwa mke wa kaka yako au uendeleze familia ya kaka yako ila ungependa zaidi wewe uoe na uwe na familia yako
Heshimu mipaka yako kama mdogo wa kaka yako na shemeji kwa huyo mama
Kama una msimamo na mpango wa kuanzisha familia yako heshimu hilo na mwambie wazi kabisa natoa msaada kama mdogo mtu na kwa ajili ya watoto wa kaka yangu na kuhakikisha wewe unasimama kuweza kuisimamia familia yako na baada ya hapo ni lazima wewe kama wewe usimamie familia yako
Msaada unaotoa ni kwake kuweza kusimama na sio kutaka wewe uchukue nafasi ya kaka yako
Imagine may be kaka yako akatoka kwa msahama wa rais na akukute wewe umechukua nafasi yake na umelala na mke wake ni nini kitampata au hata wakati unaenda kumtembelea uende na mke wake tumbo hilo au ana mtoto wa nne na anaambiwa wazi ni wa mdogo wako huoni kuwa litamuumiza sana kaka yako
japo sheria ya ndoa inaryuhusu mwanamke kuolewa iwapo mume atafungwa kifungo kirefu sana usiruhusuliwe kwako labda useme huna tena mpango wa kuoa na utaichukulia familia ya kaka yako kama yako na kumchukua huyo mwanamke kuwa mke wako
Shida yangu ushauri kisha nitapima faida zake. Nimgegede ama hapana.wewe shida yako unataka tukwambie umgegede.
Mkuu kweli hilo ni jaribu kwako, ukianagalia kimsingi huyo shemeji yako anahitaji kugegedwa kwa sababu na yeye ni binadamu ana hisia, na miaka 30 kusubiri ni mingi sana. Kwa sababu una familia yako mwache atatimiziwa haja zake na jamaa wengine...!!
Shida yangu ushauri kisha nitapima faida zake. Nimgegede ama hapana.