ushauri tafadhali, MSc water resources management vs MSc water quality management | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushauri tafadhali, MSc water resources management vs MSc water quality management

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mymy, Jun 25, 2012.

 1. m

  mymy JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  habari zenu wana jamvi....! ushauri/mawazo yenu yanahitajika tafadhalini. ni kwamba kuna jamaa aliniuliza hili swali lakini kwangu likawa gumu kidogo kulijibu ndo nimelileta huku, kuna hizo kozi mbili anaulizia kati ya MSc water resources management na MSc water quality management ipi itamsaidia hasa hasa akitaka kujiajiri akimaliza?
   
Loading...