Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Inauma lakini bora umwambie mapema kama ana mtu mwingine anamhitaji lakini anakataa kwa sababu yako aweze mkubalia......
We nawee hupitwi "manyonyo" ndo manini sasaSio kila anaekataliwa kuna sababu ya msingi, kama unampenda utahakikisha unamuoa.....
Kuna mwanamke alikataliwa ukweni kisa ana manyonyo makubwa utadhani mwenye nayo hayaoni
Usimdanganye mwenzio kamwe sitaoa kuangalia familia nitamwangalia Mungu kama yeye anasamehe makosa sembuse sisi tunaochagua nani mtakatifu nani sio kwa machp.Kama sio wako ni sio wako lakini si kuolea familia.Mtu atamwacha baba yake na mama yake ataambatana na mumewe or mkewe na si familia mana ndo anaiacha ivo ni yeye na Mungu wake .Familia hata ikimletea malaika na ndoa isipofaa haisaidii ni kuumizana tu na mara nyingi wake wa kuchaguliwa na mama wanakua hawasikii maana wanajua mama mkwe atamtetea bila kujua anamuumiza mwanae.Bora huyo kwa aibu anaweza akabadilika mana anajulikana.So whats out ndoa ni yako na maisha ni yako.Mwombe Mungu.Waafrica tuna oa/kuolewa kwaajili ya familia zetu!
Mwanamke kama hakubaliki kwenu achana nae na unapoteza muda kama ukidanganywa umuoe...!
Tafuta mwanamke atakaye kubalika kwenu!
Acha ubinafsi kwa kua si wewe miaka yote hiyo minne si tayari ndoa hiyo halafu mzazi anakuja kuivunja kwa cheap words bila maelezo ya kina?Biblia inasema enyi watoto waheshimu wazazi wenu mpate heri na vilevile wazazi wasiwachokoze watoto wao.Yeye kama mzazi hatakiwi kumkatalia tu bali akae nae chini amshauri na kumconvice why iko ivo ni mbaya pia watu hua wanabadilika kutokana na past so hatutakiwi kukariri kua mama ndio final say bt God is the final say kama ni yeye kapanga basi ataipigania na wazazi pia wakati mwengine wanapenda kuwacontrol watoto wao wa kiume sana kwa upande wa wake .Miaka yote hiyo leo uache mke utafute mwingine upoteze mwaka au miaka then uoe while ni plan B.I wont stand to see that.If and only if kuna evidence kabisa nimeona ndo ntamuacha si mere words.Kwani ukimuacha na kutafuta mwingine,wazaz wako wanaompenda utakufa?unataka radhi ya wazaz?
Hasiyesikia LA mkuu.........!
Simama in what u belive umekaa nae all that time mpaka ukaona anafaa kuweka ndani leo mtu akwambie hafai mwambia aweke fact si kwa interest zake mama angu alikuaga hivo kwa my brother nilimchamba akakaa kimya nikamwambia hata sikumoja usipende mtu akulaumu acha ajilaumu mwenyewe wewe mshauri sio ukomae hapana mbona alioa at last.Haya mambo magum sana ndugu..haswa ww ukiwa ndo mkubwa ktk familia..usiombe yakukute
Acha kugeuza verse ya biblila ni Mathayo 7:9. Unasema je kuna yupi kwenu mwanae akimwomba mkate atampa jiwe?Au akiomba samaki atampa nyoka?Soma neno acha kukariri na hii ina maana kwamba Mungu ndo mwenye uwezo wa kutupa vikubwa kuliko wazazi wetu mana kama wazazi wetu wanatupenda na kutupa vilivo vema si zaidi Baba aliye juu?So haumaanishi kwamba wazazi ndo wanatuchagulia vitu vema noo.Mchumba akikataliwa na wazazi, kuwa makini sana na maamuzi yako. Mara nyingi nimeona waliong'ang'ania kuoa au kuolewa na waliokuwa wachumba wao wakiishi maisha ya taabu na majuto makubwa. Sikumbuki vizuri hiko kitabu katika Biblia Takatifu, inahoji, "Ni mzazi yupi awezaye kumpa jiwe mwanaye akimuomba mkate?" Wazazi wetu ni Mungu wa hapa duniani, ndo maana akapewa uwezo wa kukupa Mibaraka ukimpendeza na kukupa Laana ukimchukiza. Kuwa makini sana ndugu.
Soma uelewe ndugu, usikurupukie vitu.Acha kugeuza verse ya biblila ni Mathayo 7:9. Unasema je kuna yupi kwenu mwanae akimwomba mkate atampa jiwe?Au akiomba samaki atampa nyoka?Soma neno acha kukariri na hii ina maana kwamba Mungu ndo mwenye uwezo wa kutupa vikubwa kuliko wazazi wetu mana kama wazazi wetu wanatupenda na kutupa vilivo vema si zaidi Baba aliye juu?So haumaanishi kwamba wazazi ndo wanatuchagulia vitu vema noo.
Biblia inasema "Mtu atamwacha baba na mama ataambatana na mkewe na si familia Mwanzo 2:24-25.
Na mke mwema anatoka kwa bwana na si kwa wazazi kumpenda au kumjua Mithali 19:14.
So kwa kumalizia wazazi wanatakiwa watulee vema ktk bwana na si kiuanadamu na kihisia zao mana shetani anaweza kuwatumia japo tunatakiwa tuwatii na kusikiliza. Efeso 6:1
Not real hatuezi kusema ndoa zote zenye migogoro ni wazazi wamezikataa no ni chache sana mana wazazi lazima walete interest zao endapo hawamtaki bint na mme akitetereka kwishne.Wao pia ni wanadamu shetani anaeza kuwatumia kukuharibia maisha yako ya ndo so tuwe makini pia.Ingekua ndoa nyingi wazazi wanazopenda wake hazivungiki labda tungekubali lakini haya ni maoni tuMchumba akikataliwa na wazazi, kuwa makini sana na maamuzi yako. Mara nyingi nimeona waliong'ang'ania kuoa au kuolewa na waliokuwa wachumba wao wakiishi maisha ya taabu na majuto makubwa. Sikumbuki vizuri hiko kitabu katika Biblia Takatifu, inahoji, "Ni mzazi yupi awezaye kumpa jiwe mwanaye akimuomba mkate?" Wazazi wetu ni Mungu wa hapa duniani, ndo maana akapewa uwezo wa kukupa Mibaraka ukimpendeza na kukupa Laana ukimchukiza. Kuwa makini sana ndugu.