nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
mimi ni kijana wa miaka 25,nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi mpaka nahitimu masomo ya chuo kikuu.nimeanza kazi sasa na nimepata mpenzi lakin tatizo ni kwamba napiz haraka kama dk. moja tu nikiingza na hata ninapoenda awamu nyingne hali ni iyo iyo.mdada anajitahd kunipa moyo ila sasa wadau mnaojua nisaidieni ndugu.
tatizo ni kwamba napiz haraka kama dk. moja tu nikiingza na hata ninapoenda awamu nyingne hali ni iyo iyo.mdada anajitahd kunipa moyo ila sasa wadau mnaojua nisaidieni ndugu.
poule yako braza uliwah kupiga nyetoo?
fanya mazoezi ya viungo,punguza mawazo,hiyo kitu yako itazoea siku moja vuta wife weka ndani,mengine yatabaki hiatorie,best lucky!
Kama mdada anajitahidi kukupa moyo, basi tulia nae na hakuna haja ya kuja kuomba ushauri huku kwani hiyo ni hali ya kawaida na ulienae ameridhika
Fanya kila mara kwa mda mrefu na Punguza wasiwasi..nashauri uwe una lala nae Mwenzio hata wiki nzima...
Unataka tukusaidie kukupa ushauri wa namna ya KUZINI??:angry:
...kazinzi kapya in town,looking 4 advise...