john ndale
Member
- Sep 1, 2015
- 70
- 96
Sasa utauzaje Mali wakati huko unaenda kukaa miaka miwili tu???Kweli mkuu ndio maaan nawaza Mali zng zote niuze niweke hela kwny account ya mwanangu niondoke zng
Hatuhitaji kumsikiliza.... Jamaa yupo sahihi coz wanawake wengi hamjielewiTungesikia na upande wa pili rahisi zaidi kujua ushauri wa ku comment.
Inaitwa pata pesa tujue tabia yako, achana nae limbukeni huyo atakusumbua tuUpo sahihi kamanda. Kama uliyoandika hapa ni sahihi basi upo sahihi kwa asilimia 800.
Piga chini mhudumie mwanao tafuta mtoto mwingine mzuri utulie.
Sure mkuu..Inaitwa pata pesa tujue tabia yako, achana nae limbukeni huyo atakusumbua tu
Kweli mkuuUkimya ndio silaha kubwa zaid dunian kwa adui yako hususan katka swala la mapenzi na kutendwa
tena kama anaenda america au europe arudi na mzungu kbsUpo sahihi kamanda. Kama uliyoandika hapa ni sahihi basi upo sahihi kwa asilimia 800.
Piga chini mhudumie mwanao tafuta mtoto mwingine mzuri utulie.
Nakubaliana na wewe kuwa wanawake in wepesi wa kusahau memaPole, we fanya venye moyo wako unapenda. Wanawake ni wepesi sana kusahau wema, ni mwanamke gani hajui maisha tunayohangaikia ni sababu tu watoto, amewezaje sahau alikotoka haraka namna hiyo!!! Fanya yako siku akija shtuka ashazeeka