Ushauri: Suzuki Jimmy, Terios Kid au ipi?

Optimist_1

Member
Joined
May 28, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Amani kwenu wanaJF,

Kwa wale wenye utaalamu wa magari, naomba ushauri wenu wa gari ipi ifaayo kwa kwa kuzingatia mambo yafuatayo,

  1. Matumizi - kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwa Dar es Salaam (au nje kidogo ya Dar kama Bagamoyo, Moro,Kisarawe nk) na kuzingatia hali ya barabara ambapo mara nyingi nitakuwa napita njia za vumbi.
  2. Pia iwe yenye urahisi wa kupata spea uhitaji ukitokea,
  3. Iwe ni all wheel drive a.k.a 4WD
  4. Ulaji mdogo sana wa mafuta, preferably <1,000 cc

Mimi nimewaza Suzuki Jimny, au Terios Kid (check picha); mnanishaurije wapendwa?

05.jpg

04.jpg

Nawasilisha!
 
Gari hapo ni Suzuki Jimmy mkuu!!Kuepuka usumbufu wa spea
 
Back
Top Bottom