Ushauri: Siyaelewi haya maisha ya ndoa

Habari,

Nimeamua kuja humu ndani kwa kuwa nadhani ninaweza kupata akili ya kufanya maamuzi kutokana na yale yanayonisibu.

Ilitokea nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja yeye alikuwa ametoka kumaliza kidato cha sita na mimi chuo tulikutana kwenye mizinguko ya kimaisha Mara baada ya kila mmoja kuamua kufanya issue nje na alichokisomea hasa mimi.

Nilikuwa nae kwa mahusiano kwa muda mfupi ila nilijiona Siko serious ilhali mwenzangh yuko seriously ilimuuma kwa upande wake lakini angefanyaje.

Baada ya miaka kupita alirudi katika circle yangu na mimi ikabidi nirudishe mahusiano upya na yalikuja kwa nguvu sana haikupita muda akapata ujauzito na niliupokea na nikalea hadi leo ninalea mtoto.

Kilichonileta hapa mwanzo nikiwa nae kwa mahusiano Kuna vitabia vingi alikuwa anavificha ila leo baada ya kuishi nae karibia mwaka nimeanza kuvigundua kama Dharau,kuzira zira,,gubu,kununa muda wote na mwenye kinyongo muda wote.

Mabadiliko mengine nadhani ni ya kawaida kama kuninyima penzi na kunipa anavyojisikia yeye.

Actually ndugu zangu karibia wote wamemkataa na hawanishauri nimuoe.

Ndugu upande wa kwao wamemzira mwaka wa pili sasa unaenda hawataki kumuona yeye na mtoto wake kisa tu sijatoa mahari na nilishawaeleza ukweli siko vizuri kiuchumi ila mambo yakikaa sawa Nitatoa maana nilishaenda ukweni kutoa posa.

Kwanini nimekuja kwenu;

1. Nimekuwa nikipata stress sana kama huyu mwanamke ananifanyia visa hivi naishi nae sijamua nikimuoa itakuaje atabadilika kweli au atakuwa mbogo tu?

2. Je, upande wa mwanamke wameniziria mtoto wao kisa sijatoa mahari je Siku nikitoa mahari Kuna undugu au ndo tumemalizana.

3. Kuna muda nawaza tuachane tu tulee watoto maana sioni future kwa huyu mwanamke na hata kama nitasema niforce nimuoe naona nitakuwa napalia makaa.

Ushauri wakuu.

Umri wangu sijafika 30, nina kazi ya kawaida, nimepanga, naishi Mwanza.

Ahsante.
Broo,mbona scenario kama yangu ,tuko wengi wenye hizo dillema hasa hasa ukishazaa namtu ,halafu unakuta mwanamke yy anaona kinga yake nikizaa naww ,lkn anatabia mbaya nawala haoni kama anawajibika kubadirika ,unakua na stress sana nakichwa kinakuavkinawaka moto ,,,kumbe msemo wakichwa kinawaka moto aisee nikweli...unakuavhaufurahii mahusiano.
 
Habari,

Nimeamua kuja humu ndani kwa kuwa nadhani ninaweza kupata akili ya kufanya maamuzi kutokana na yale yanayonisibu.

Ilitokea nilikuwa kwenye mahusiano na mwanamke mmoja yeye alikuwa ametoka kumaliza kidato cha sita na mimi chuo tulikutana kwenye mizinguko ya kimaisha Mara baada ya kila mmoja kuamua kufanya issue nje na alichokisomea hasa mimi.

Nilikuwa nae kwa mahusiano kwa muda mfupi ila nilijiona Siko serious ilhali mwenzangh yuko seriously ilimuuma kwa upande wake lakini angefanyaje.

Baada ya miaka kupita alirudi katika circle yangu na mimi ikabidi nirudishe mahusiano upya na yalikuja kwa nguvu sana haikupita muda akapata ujauzito na niliupokea na nikalea hadi leo ninalea mtoto.

Kilichonileta hapa mwanzo nikiwa nae kwa mahusiano Kuna vitabia vingi alikuwa anavificha ila leo baada ya kuishi nae karibia mwaka nimeanza kuvigundua kama Dharau,kuzira zira,,gubu,kununa muda wote na mwenye kinyongo muda wote.

Mabadiliko mengine nadhani ni ya kawaida kama kuninyima penzi na kunipa anavyojisikia yeye.

Actually ndugu zangu karibia wote wamemkataa na hawanishauri nimuoe.

Ndugu upande wa kwao wamemzira mwaka wa pili sasa unaenda hawataki kumuona yeye na mtoto wake kisa tu sijatoa mahari na nilishawaeleza ukweli siko vizuri kiuchumi ila mambo yakikaa sawa Nitatoa maana nilishaenda ukweni kutoa posa.

Kwanini nimekuja kwenu;

1. Nimekuwa nikipata stress sana kama huyu mwanamke ananifanyia visa hivi naishi nae sijamua nikimuoa itakuaje atabadilika kweli au atakuwa mbogo tu?

2. Je, upande wa mwanamke wameniziria mtoto wao kisa sijatoa mahari je Siku nikitoa mahari Kuna undugu au ndo tumemalizana.

3. Kuna muda nawaza tuachane tu tulee watoto maana sioni future kwa huyu mwanamke na hata kama nitasema niforce nimuoe naona nitakuwa napalia makaa.

Ushauri wakuu.

Umri wangu sijafika 30, nina kazi ya kawaida, nimepanga, naishi Mwanza.

Ahsante.
UNAMPENDA?
 
Ongea nae muweke wazi juu ya tabia zake mbaya zinazokukwaza (japo naww hatujajua una tabia zipi).

kisha mpeane space ya kila mtu kujitazama upya then mtaamua wenyewe. Usioane na mtu eti kisa umezaa nae, utajuta baadaye.
 
Mungu anitie nguvu aisee mwanamke hapendi suluhu inaboa sana.

Najikuta muda mwingi niko karibu na Simu na kuongea nae wengi inanibidi niongee nawatu wengine
Tuliooa tumepitia kipindi hicho. Ila mpuuze, pambania ndoto zako
 
tabia nyingi alizonazo wanawake wengi wanazo,kwahyo jifunze kuishi na mwanamke,wewe unafikiri magari yameajaa bar kila siku jioni unafikiri wanaume wote hawapendi kuwahi nyumbani ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom