Ushauri: Single mama, hataki pesa kidogo ya matunzo ya mtoto

Ushauri: Single mama, hataki pesa kidogo ya matunzo ya mtoto

Dawati la jinsia hakuna kitu wala asiogope polisi, kule ataenda kuomba poo demu, maana dawati wata uliza kipato chake kwa mwezi na mwisho siku ataambulia Tsh. 2000/= kwa siku ambayo kwa mwezi ni sawa na Tsh. 60,000 elfu tu, Kikubwa asiogope
 
Dawati la jinsia hakuna kitu wala asiogope polisi, kula ataenda kuomba poo demu, maana kule anaenda uwezo wake tu kwa mwezi na mwisho kuambawa atoe Tsh. 2000/= kwa siku kwa mwezi sawa na 60,000 elfu tu, Kikubwa asiogope tu
Asante kwa ushauri
 
Sasa nakupa hii ya kimedani hutaambiwa popote, huyo demu shida sio matunzo wala nn ni hasira za kutoswa cha kufanya mwamba atengeneze atmosphere ya amani na huyo binti ikiwezekana kiporo kipashwe kwel kwel ajifunze uongo wa kiumeni mke akadanganywe na single mama adanganywe siku ziende
 
Mtoto wa kishua anatembeaje na wanawake wabovu Hadi kuwatia mimba?
 
Akuna dawa tamu kama kujizuia na kupiga kimya ata mtu atukane matusi yajae bwawa itafika mahali atanyoosha mikono ila kikubwa mpe mtoto haki zake huyo gubegube achana naye .
 
Back
Top Bottom