Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,212
- 48,763
Hizi ndizo nyuzi pendwa kwa Watanzania.Huu Uzi mpaka kesho saa 11 jioni utakuwa na 5k au 6k views. Tafuta dogo dogo akushibishe mwanamama mbona mzabzab ndo biashara yake hiyo. Kiungo mkata shombo
Yani acha tu ndugu yangu tembea uyaone yani kwajinsi ninavyojiweka ingekuwa ni mwanaume mwingne kwajinsi ninavyowajua ingekuwa kila dk anataka mzigo hata kazini nahisi angekuwa anachelewaAisee kweli kwenye miti hamna wajenzi. Mke anataka kuoelekewa moto mume anakataa mbususu
Wimbo huo sio soda ya kopo?pole sana mzee yusufu kuna nyimbo yake moja anaimba kama hataki nipe mie kasusa nipe miemzabzab na carlos the jackal uziwenu pendwa huu umekuja kazi kwenu
Bora tugegedane tuu maana akili za maendeleo hatuna sieHizi ndizo nyuzi pendwa kwa Watanzania.
Duh! Sasa unanishauri nifanyaje?Ndoa iko matatani, pengine anayo matatizo ya kisaikolojia.
Kila nikiongea nae ananiambia anachoka sana hana jibu lingine Bora angekuwa muwazi ili nimsaidieOngea naye kwanza kisha atakavyokujibu ndo utuambie ili tujue namna ya kukushauri.
Aisee kama nakuona vile umevaaa zile chupi zenye kamba inapita pale katikati ya mabonde mawiliYani acha tu ndugu yangu tembea uyaone yani kwajinsi ninavyojiweka ingekuwa ni mwanaume mwingne kwajinsi ninavyowajua ingekuwa kila dk anataka mzigo hata kazini nahisi angekuwa anachelewa
Ndio raha ya jf bwana. Maana hizi akili za maendeleo hamna kitu kwa sababu siasa kila sehemu ila kwenye kugegeduana hamna siasaNyuzi zako hizi.
Huchezagi mbali mzabzab
We unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tuMmmh wewe ni mtata kwa kauli hizi utachapiwa tu.
Huenda amekukinai
Hakuna mwanaume wa hivyo ....huyo mwanamke ajiangalie tu mienendo yake dhidi ya Mumewe.... Mi niliondoka kabisaaaa na kumuachia Mji mke.... Nkaenda kupanga. Hakuna kitu kinashusha hamu kama dharau, maneno machafu ,dhihaka na wakati mtu unamsaidia Kila kitu na anaanza kukulinganisha na wanaume wengine. Anaweza jua hafanyi lakini aangalie mienendo yake yeye kwanza. Ana Ndimi nzuri Kwa Mumewe!?? Matendo.... !!??.Hakuna mwanaume atakuwa na nyuchi ndani na asiichakate ila ukimletea hizo mambo hata mwaka mtamaliza. Nimerudi lakini silali nae tena Kwa ajili ya watoto lakini amepata Somo kabaridika sana.Aisee kweli kwenye miti hamna wajenzi. Mke anataka kuoelekewa moto mume anakataa mbususu😲😲😲
Usingefika uzi ingekuwa batili🤣🤣Kweli hiyo ndoa ngumu maana bila kuoelekewa moto hapo hamna ndoa
Hebu njoo nikushauri vizuri hutajutaWe unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Ndio mana unahasira sana mchanaHabari za majukumu?
Nambeni wenye ujuzi na mambo ya ndoa mnisaidie hapa maana nimewaza mpaka akili imechoka na majibu nimekosa.
Mume wangu amekuwa ni mtu ambaye kufanya tendo la ndoa ni mpaka mimi nimuanze ndiyo tunafanya. Ila na mimi siku nikijikausha tunaweza tukamaliza hata wiki 2 tusifanye wakati mwingine tunaweza maliza hata mwezi mama nisipomuanza.
Kinachonikera zaidi ni kwamba hata wakati mwingine nikimuanza mimi, anaweza kuniambia mke wangu leo nimechoka naomba tulale tutafanya siku nyingine. Hiki kitu kiukweli kinaniumiza sana akili, raha ya mapenzi kila mtu aoneshe ana hamu na mwenzake siyo kila siku mimi ndiyo nianze kuomba mapenzi.
Hapa nawaza ni kwamba atakuwa na matatizo ya nguvu za kiume au inawezekana ana michepuko anafanya huko akirudi nyumbani amechoka hana hamu na mimi, au inakuwaje au pengine kalogwa asiwe na hisia na mimi, ila bado nmekosa majibu!
NB: Nimejaribu hadi kubadilisha mazingira ya nyumba, nimepanga upya nyumba ni safi inavutia na akirudi anakuta nimeshaoga nimejipamba najitahidi kuvaa na vinguo vya kumtega lakini bwana huyu hata haoni, wakati mwingine mpaka navua nguo zote usiku namuomba anikumbatie kwa makusudi ili apate nyege lakini wapi, naye alivyo anaishia kunikumbatia bila kufanya chochote.
Nikisema nimuanzishie mimi mahaba anaishia kunambia mke wangu kuna joto usinishike tulale kwanza, yani napata hasira huwa natamani hata nipige ukunga.
Hivyo naombeni wataalamu wa mambo ya ndoa mnishauri tatizo ni nini au mimi nakosea wapi ili nijirekebishe ndoa yangu iwe na amani maana imefika hatua nimeshajikatia tamaa.
shida ipo hapo kwenye kubeti.Kwa upande wangu Mimi naona Hali ya kimaisha ipo sawa mpaka anapata na ela za kubetia kila siku na huwa simkoromei Wala hatuna malumbano ndani amani ipo Kama ni ela za matumizi anaacha kunipenda ananipenda sana tu tunacheka, tunapiga story yani hamna shida kabisa tatizo ni Hilo moja tu la kutokupewa haki yangu, na kinachoniumiza akili hivi hata Kama mwanaume ana michepuko jamani ndoasinimc mke wake hata kwa wiki tu japo Mara moja mpaka inafika wakati nawaza au kalogwa ili akose hisia na Mimi dah! Ukisikia ndoa ni ngumu ndo hii sasa
Labda kuna namna uliwahi kum-disrespect na ikapelekea kupunguza feelings.. au pengine kuna ugonjwa umemfanya asiwe na hamu.Duh! Sasa unanishauri nifanyaje?
Mzee unataka kula kimasikhara🤣🤣🤣🤣Hebu njoo nikushauri vizuri hutajuta
Fanya mpango ukate kiu mamyWe unasema tu tatizo nishajikatia tamaa inakera sana usiombe yakukute Bora basi hata awe na matatizo ya kiafya nitavumilia ila unakuta anachepuka uko inaumiza sana kutokujali hisia za mke wako hata Kama anachepuka alitakiwa anifikirie na Mimi hata kwa wiki Mara moja tu
Acha tu Bora asiache ela ya matumizi nitavumilia Ila anipelekee Moto Kama ni vyakula kwetu nimeviacha vingi tu huku kwenye ndoa nmefata kitu kimoja tuKweli hiyo ndoa ngumu maana bila kuoelekewa moto hapo hamna ndoa