Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,629
- 4,227
Muda/umri wa kustaafu Serikalini ikiwemo sekta binafsi.
Wafanyakazi wote wapunguziwe umri wa kustaafu na kuwa walau miaka 55 badala ya 60, siku hizi life span ya mwanadamu imekuwa ndogo, hii itasaidia watoke na walipwe stahiki zao mapema na kuzifurahia wakiwa na nguvu angali wako hai. Pia hii itasaidia kutoka wengi na kuingia wengi (yaani watastaafu wengi na wataajiriwa vijana wengi).
Balance ya pesa na mishahara.
Hili suala la mishahara halipo fair kabisa Serikali ilitazame kwa upya, na yawezekana ikawa ni mojawapo ya sababu za Serikali kushindwa kuajiri. Haiwezekani mtu analipwa/unamlipa zaidi ya 7 million kwa mwezi. Mfano: wabunge, wakati kuna vijana wasomi wengi wamejazana mitaani.
Mishahara ipunguzwe, anayelipwa million 7 apewe 4 million, anayelipwa 4 milioni apewe 1.5 milioni, anayelipwa 1.5 milioni apewe 800,000, hii itasaidia kuongeza vijana/nguvu kazi makazini.
Kuna taasisi kibao na nyingi za Serikali bila kuacha za jeshi na kuna graduates kibao mitaani. Graduates/vijana wote wenye degree na diploma waajiriwe na walipwe mshahara usiozidi 600,000 kwa mwezi.
Waajiriwe ndani ya mikoa yao na Halmashauri zao ili kuepusha gharama zisizo na ulazima. Asiyeridhika aache, aachie watakao kubali. Kwa namna hii kelele za ajira zitaisha kabisa.
Pia hii itasaidia kuwa na shifti ya baada ya masaa mawili au matatu makazini kutokana na ongezeko la nguvu kazi. Badala ya mtu mmoja kufanya kazi mpaka jioni, kazi itafanywa na watu wengi kwa siku kwa njia ya shift ya masaa machache na kazi itafanywa kwa ufanisi na umakini zaidi bila uchovu.
Kwa siku mtu atafanya kazi masaa mawili baada ya hapo atakwenda zake kuendelea na mambo mengine. Serikali mkifata na kufanya haya, tatizo la ajira Tz itakuwa ni ndoto.
Wabunge, Mawaziri na Rais mnafeli wapi? Mbona haya mambo ni mambo rahisi kabisa.