Na sie wengine tunataka kwenda mjini tukanywe chai na maandazi, yaani nimekulia kwenye makande na mwishoe maisha yangu yote yaishie kwenye makandeππππKweli lakini
Wanaajiri kwa baadhi ya sekta mkuu. Kama unataka kuingia serikalini jitahidi kutembelea ile wavuti ya tume ya ajiraHivi serikali ya jiwe inaajiri kweli??
ππππππWe endelea kupika chakula kizuri tu watu wale hapo
ππππππ
Na sie wengine tunataka kuishi huko mjini mlipo
hahahahahaahahahahahahMtagogwa magari kwenye mataa.. hivi unajua mjini kuna mataa ya kuvukia lakini??
Wikiendi hii njoo njoo uonje mapishi yanguWe endelea kupika chakula kizuri tu watu wale hapo
Nimekusemesha kulee hebu nijibu mkuuWe endelea kupika chakula kizuri tu watu wale hapo
Nimekusemesha kulee hebu nijibu mkuu
Nimekusemesha kulee hebu nijibu mkuu
nisemeshe kule unipe mchapo wa ile issueUnaweza pika kamongo vizuri
Hivi nitaweza kula makande kweli?nitaweza kupuliza moto kwa mashavu?Serikali yangu tiifu naomba sana tena sana muwe mnafanya usawa katika jambo hlii.
Ushauri wangu ni kwamba, pale mnapotoa ajira mfano za walimu, mahakimu, askari wa majeshi yetu yote, sekta ya afya, kilimo na nyinginezo, muwe mnafanya hivi: Wale ambao walizaliwa na kukulia mjini WAPANGWE VITUO VYA KAZI HUKO VIJIJNI na sisi akina Nahuja ambao tulizaliwa kijijini na kukulia kijijini TUPANGWE MJINI.
Inapendeza kila mmoja akionja kuishi katika mazingira ambayo hakuwahi kuishi tangu utoto wake.
Haipendezi mtu kazaliwa "Dasilamu" amekulia hapo hapo Dar, halafu tuseme ni mwalimu wa shule ya msingi, anapangwa tena kufundisha Bunge Shule ya Msingi. Au kama mimi Nahuja nimezaliwa upareni Mwanga, halafu tena napangwa kufundisha Shule ya Msingi Kibaya - Kiteto!!!
ππππππππ
Utaweza. hahahahaahhHivi nitaweza kula makande kweli?nitaweza kupuliza moto kwa mashavu?