ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,319
- 50,534
Biashara hii inatokana na uwezo wa ku laundry money!... Tanzania mchezo umeiva Sana wasanii, wanasiasa, wanaojifanya watu wa MUNGU, wafanyabiashara wakubwa yaani watu wanaingia na tones of money na kuondoka nazo bila kuulizwa.
Benki zetu zinabadilisha fedha kama vile ni mchezo wa kawaida kwa hiyo Mafia wote wa Europe wamekita Bongo wakinunua Unga na kuusambaza duniani.
Pamoja na kwamba bei yetu ni kubwa, sasa hivi Unga utatumika kuzalisha crack na aina nyinginezo ambazo zinauzwa sana na vijana wadogo ktk ma club ulaya na North America, Japan na kadhalika.
This is big business kwa hiyo kuivunja hii biashara magufuli huna budi kuanza na kuvunja money laundry nchini, sheria kali katika benki zetu na kuondoa kabisa uwezo wa mtu kuingia na kutoka nchini na kiasi chochote cha fedha za kigeni bila kibali maalum toka benki ya ndani ama nje.
Pia Bank to Bank transfer ziwe zinachunguzwa zaidi na kibali hakitoki kwa mtu mmoja tu.
Nakupongeza Sana Kwa kuanza kuvunja Mafia mob yenyewe ambayo inahitaji nguvu ya dola!.... problem kubwa ni kwamba kweli watu wanawafahamu watu wengi wanaohusika lakini wamejifanya kuwasahau.