brasy coco
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 1,489
- 900
Wauza unga wananguvu ndio ila mm namini ukiamua inawezekana hawa jamaa kuwapangua
Nayaona ndomana nakwambia haiwezekani nenda bandarini rafu zinachezwa mpaka muda huu japo rais alikuwa huko ukija kwenye utakatishaji wa pesa ni kama kumsukuma mleviHayo mambo kusema Haiwezekani yamepitwa na Muda.. Zama zimebadilika kaka
Wajinga kama wewe huwa tunawaonea huruma mana ni wafuasi wa kibweteleAcha ujinga wewe serikali ya Sasa sio ya kizembe km unavofikiria
Ujinga ni mzigohehehe madawa hayatokomezwi kwa kuchukua magari ya wauzaji...wala wao kuwa wazamini wa safari zenu
Biashara hii inatokana na uwezo wa ku laundry money!... Tanzania mchezo umeiva Sana wasanii, wanasiasa, wanaojifanya watu wa MUNGU, wafanyabiashara wakubwa yaani watu wanaingia na tones of money na kuondoka nazo bila kuulizwa.
Benki zetu zinabadilisha fedha kama vile ni mchezo wa kawaida kwa hiyo Mafia wote wa Europe wamekita Bongo wakinunua Unga na kuusambaza duniani.
Pamoja na kwamba bei yetu ni kubwa, sasa hivi Unga utatumika kuzalisha crack na aina nyinginezo ambazo zinauzwa sana na vijana wadogo ktk ma club ulaya na North America, Japan na kadhalika.
This is big business kwa hiyo kuivunja hii biashara magufuli huna budi kuanza na kuvunja money laundry nchini, sheria kali katika benki zetu na kuondoa kabisa uwezo wa mtu kuingia na kutoka nchini na kiasi chochote cha fedha za kigeni bila kibali maalum toka benki ya ndani ama nje.
Pia Bank to Bank transfer ziwe zinachunguzwa zaidi na kibali hakitoki kwa mtu mmoja tu.
Nakupongeza Sana Kwa kuanza kuvunja Mafia mob yenyewe ambayo inahitaji nguvu ya dola!.... problem kubwa ni kwamba kweli watu wanawafahamu watu wengi wanaohusika lakini wamejifanya kuwasahau.
Pale bandarini dili hazifi nyerere mwenyew alichemka mamaeeeMafia Mob? Unaifahamu au unaishia kuisoma kwenye mitandao? Magufuli maisha yake yote hataweza ivunja zaidizaidi anaungana nao taratibu ni vile tu kachagua nae upande wake ambao upo tofauti na wengine na money laundry ni kama maji lazima uyanywe au kuyaoga ili usinuke shombo.
Ni sawa na bandari hawawezi acha kupiga madili hata ikawaje utawatoa wengine watakao ingia wataendeleza ni cheni ambayo inarithi
Si wakamwinda kwenye vyeti.Mbinu hizi zinahusisha mpk kwenye Bureau de change. Makonda alisema atamulika Sana hili eneo sijui iliishiaje
Huna tofauti na chizi wa mirembeTuko Pamoja magufuli wanaotaka kututoa kwenye direction ya vita hii hawatashinda


Tuko Pamoja magufuli wanaotaka kututoa kwenye direction ya vita hii hawatashinda