Ushauri: Serikali fungueni mahakama ya wapinzani

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,591
Reaction score
17,561
Wakuu nawasalimu kikwetu,

Binafsi sina uwezo wa kutoa mawazo yangu katika vyombo vya juu lakini nahisi kupitia JamiiForums wakuu wa nchi hii wanaweza kupokea maoni yangu.

Jana nimosoma makala mbili hapa JamiiForums zinazousiana na kesi za wapinzani nikapata wazo.

Wazo langu ni kuanzisha MAHAKAMA maalumu otakayoshughulika na wapinzani either wa kisiasa kiuchumi au kijamii.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utakubaliana na mimi kwani tangu awamu hii ishike hatamu kesi za wapinzani zimekua nyingi kuliko kesi za MAFISADI mpaka wengine wanawekwa/wanatekwa na polisi zaidi ya siku 11 bila kupelekwa MAHAKAMANI.

SO MAHAKAMA YA MAFISADI IBADILISHWE IWE MAHAKAMA YA WAPINZANI WAWEZE KUPELEKWA MAHAKAMANI HARAKA NA WASOMEWE HUKUMU ZAO.

NB: Ni mawazo yangu.
 
Nimeelewaaaaa zaidi
 
Haki yake mwenye haki itamwokoa, bali yeye afanyae fitina atanaswa katika hila zake (Mit 11:6). Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wowote!
 
Wakuu nawasalimu kikwetu,

Binafsi sina uwezo wa kutoa mawazo yangu katika vyombo vya juu lakini nahisi kupitia JamiiForums wakuu wa nchi hii wanaweza kupokea maoni yangu.

Jana nimosoma makala mbili hapa JamiiForums zinazousiana na kesi za wapinzani nikapata wazo.

Wazo langu ni kuanzisha MAHAKAMA maalumu otakayoshughulika na wapinzani either wa kisiasa kiuchumi au kijamii.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa mambo utakubaliana na mimi kwani tangu awamu hii ishike hatamu kesi za wapinzani zimekua nyingi kuliko kesi za MAFISADI mpaka wengine wanawekwa/wanatekwa na polisi zaidi ya siku 11 bila kupelekwa MAHAKAMANI.

SO MAHAKAMA YA MAFISADI IBADILISHWE IWE MAHAKAMA YA WAPINZANI WAWEZE KUPELEKWA MAHAKAMANI HARAKA NA WASOMEWE HUKUMU ZAO.

NB: Ni mawazo yangu.

Nmeipenda hii maana sasa ni kero
 
Hahaha!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom