Dumelang
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 3,274
- 5,937
Machinga complex floor ya 4, kama sikosei chumba namba 83Wakuu mwenyewe Nina tv imevunjika kioo no nchi55 cijajua shingapi kioo
Machinga complex floor ya 4, kama sikosei chumba namba 83Wakuu mwenyewe Nina tv imevunjika kioo no nchi55 cijajua shingapi kioo
Ndugu na mm nina shida na huyo fundiKuna mtu aliwahi nifungia kioo kwa bei chee kuliko nilivyoaminishwa ngoja nione kama nitapata namba nikupe maana ilikuwa mwezi wa tatu