gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 967
Hello wana JF!
Leo nimetoka zangu kazini kufika home nikakuta mtoto amepasua kioo cha TV flat screen nchi 42 ni Samsung na inaonyesha mistari tu yaani haionyeshi kitu.
Naombeni msaada wakuu wapi nitawapata Samsung service center yao ili wanitengenezee au wapi nitapata nafundi wa kuweza kuitengeneza, please naombeni msaada wakuu.