Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

Ushauri: Samsung TV yangu imepasuka kioo, wapi nitapata mafundi wazuri?

Du aise KWA hiyo kuitengeneza ni gharama sana
Nakushauri kanunue tu nyingine. Itatengenezwa kwa gharama kubwa na ubora hautakuwa kama wa awali.

Na huyo mtoto usimchape bali mwambie kosa alilolifanya asirudie tena.
 
Yaani ushauri wa tv kuvunjika umehamia kupiga tu
Yaani kufundisha kwetu mpaka kupiga au mpaka kuuwa kabisa
Kuna mtoto aliangusha baiskeli ya baba yake yenye mayai kumi tu alipigwa na rungu mpaka umauti ukamkuta

Nakushauri usubiri upate hela za kuweza kununua nyingine tu
Watoto ni baraka tupu
 
4c0c053ccfe6073e6eb3280810b58ad9.jpg
 
Yn ni bora ununue mpyam.yashanikuta mara 2....
 
Mtoto kawakomesha kweli...!
Mmetoka kulipa ada December, mlikuwa mnaugulia magumu ya January, na sasa mtoto kawaharibia ISIDINGO (the need).

Poleni sana..[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
Huyo mtoto atakuwa katumwa na mama yake maana wewe Jana siulimpiga mamayake ulipomwambia kuwa huyo mtoto siyo wako amekubambia
 
Vioo vinauzwa bei Ndogo kama utaagiza SA au ukampata mtu ana truck anaenda wanabadili hata laki Mbili haifiki maana TV zenyewe zipo bei ya kawaida shida Bongo TV zipo katika kundi la vitu vya starehe kodi zake zipo juu wakati sokoni zipo bei Ndogo kabisa...kwa matoleo anavyofatua kaburu sasa hivi kila kukicha TV za kisasa zinashuka bei tuu...
 
Huyo mtoto atakuwa katumwa na mama yake maana wewe Jana siulimpiga mamayake ulipomwambia kuwa huyo mtoto siyo wako amekubambia
hahahahahaaaa ulaya12 acha utani, wewe unaleta utani wakati mimi naugulia moyoni maumivu
 
Back
Top Bottom