Ushauri : Rais fungia viwanja vyote vya ndege vilivyopo migodini.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,383
24,939
Rais Magufuli ikibidi Funga viwanja vyote vya ndege kwenye migodi..

Watanzania Tunaibiwa Sana Madini yetu, sasa basiiii.


Viwanja vikubwa kama JKNIA, KIA, Songwe, n.k ndio vitumike kupitishia hayo madini baada ya Ulinzi kuimarishwa.
3fc90eb4165596bec9d3db8b2ef1371c.jpg
0717b67f431f43cedfb7d3909921d634.jpg
 
Sasa huo ulinzi wa kulinda hayo matofari yanapotoka migodini kwa gari kupitia shelui sekenke hadi dar,majambazi nchi nzima watahamia huko.
 
Back
Top Bottom