mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana JamiiForums,
Kwa muda mwingi nilimekuwa nikiyasoma madawa mengi made in Italy, made in China, made in India made in Germany, nikawa najiuliza, hivi wataalumu wetu hawawezi kuigiza China wanaojua kukopi na kupesti kila kitu kutoka mataifa mengine.
Tangu tupate Uhuru hatuna kiwanda kizuri cha madawa, MSD imekuwa ikipokea madawa toka nje, mengine inakaa nayo yanaisha muda wake na kuharibu fedha. Nikawa najiuliza tuna Muhimbili, tuna Kampala university hawa watalaamu wetu wanasomea nini au walimu wanawapeleka chaka? Kila Siku waliosomea madawa wako wanalia kwa kukosa ajira kwasababu ya haya madawa ya kigeni.
Wazungu wakitengeneza dawa wanaweka content ya kilichomo kwenye dawa. Hivi nao uwa wanatulisha matango pori.
Nikaja na wazo kwamba kwa kuwa Rais wetu Magufuli ni Mkemia mbobezi na anajua vitu vingi kuusiana na madawa, na amezaliwa kijijini, amekulia kijijini basi huu ndio wakati wakutumia elimu yake kuwashawishi watafiti na wawekezaji kuanzisha kiwanda cha madawa Chato au Kagera kusudi misitu ya Kimisi, Biharamulo, Burigi ilete manufaa la ingizo la pato la taifa kupitia madawa.
Ikishindikana tuanzishe kiwanda cha tiba asili kwani watu wameanza kuzikubali. Ukienda kariakoo utakuta wapemba weenngi wanauza dawa za asili kutoka uarabuni, Zanzibar. Mfano. Dawa ya kuongeza nguvu za kiume kutoka Kongo super Mundende inafanya vizuri, dawa ya mshana ya kutibu maralia cerebral inafanya vizuri, dawa ya kihaya kalanda Lugo inayotibu UTI na kufungua mirija ya uzazi inafanya vizuri. Time val kiwa mulonge watu wameanzisha viwanda wanakamua mafuta dawa nao inafanya vizuri.
Dr. Wetu Magufuli katiia uongozi wako uliotukuka usiache kuwekeza katika kiwanda cha dawa Kagera /Mwanza ambako kuna misitu bado ni bikira miti mingi ya madawa inapatikana bure. Tunashindwa na dawa ya kufukuza mbu wakati mchai chai na kaswagara vinafukuza mbu hatari, tunaagiza dawa China , wazungu tusiwaamini kihivyo kwani magonjwa mengi kwao hayapo tensainakuwaje tunatumia dawa zao alafu magonjwa yanajirudia muda mfupi. Ulipotoa wazo la kujifukiza kweli umejiongezea mashabiki kwani waganda walijiongeza wakatumia njia hii imepunguza korona kwa kasi.