Ushauri Rais Dr. John P. Magufuli agiza Kiwanda cha Madawa Kagera mapori ya Kimisi, Burigi na Biharamulo yaisaidie Afrika wazungu tumewachoka

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JamiiForums,

Kwa muda mwingi nilimekuwa nikiyasoma madawa mengi made in Italy, made in China, made in India made in Germany, nikawa najiuliza, hivi wataalumu wetu hawawezi kuigiza China wanaojua kukopi na kupesti kila kitu kutoka mataifa mengine.

Tangu tupate Uhuru hatuna kiwanda kizuri cha madawa, MSD imekuwa ikipokea madawa toka nje, mengine inakaa nayo yanaisha muda wake na kuharibu fedha. Nikawa najiuliza tuna Muhimbili, tuna Kampala university hawa watalaamu wetu wanasomea nini au walimu wanawapeleka chaka? Kila Siku waliosomea madawa wako wanalia kwa kukosa ajira kwasababu ya haya madawa ya kigeni.

Wazungu wakitengeneza dawa wanaweka content ya kilichomo kwenye dawa. Hivi nao uwa wanatulisha matango pori.

Nikaja na wazo kwamba kwa kuwa Rais wetu Magufuli ni Mkemia mbobezi na anajua vitu vingi kuusiana na madawa, na amezaliwa kijijini, amekulia kijijini basi huu ndio wakati wakutumia elimu yake kuwashawishi watafiti na wawekezaji kuanzisha kiwanda cha madawa Chato au Kagera kusudi misitu ya Kimisi, Biharamulo, Burigi ilete manufaa la ingizo la pato la taifa kupitia madawa.

Ikishindikana tuanzishe kiwanda cha tiba asili kwani watu wameanza kuzikubali. Ukienda kariakoo utakuta wapemba weenngi wanauza dawa za asili kutoka uarabuni, Zanzibar. Mfano. Dawa ya kuongeza nguvu za kiume kutoka Kongo super Mundende inafanya vizuri, dawa ya mshana ya kutibu maralia cerebral inafanya vizuri, dawa ya kihaya kalanda Lugo inayotibu UTI na kufungua mirija ya uzazi inafanya vizuri. Time val kiwa mulonge watu wameanzisha viwanda wanakamua mafuta dawa nao inafanya vizuri.

Dr. Wetu Magufuli katiia uongozi wako uliotukuka usiache kuwekeza katika kiwanda cha dawa Kagera /Mwanza ambako kuna misitu bado ni bikira miti mingi ya madawa inapatikana bure. Tunashindwa na dawa ya kufukuza mbu wakati mchai chai na kaswagara vinafukuza mbu hatari, tunaagiza dawa China , wazungu tusiwaamini kihivyo kwani magonjwa mengi kwao hayapo tensainakuwaje tunatumia dawa zao alafu magonjwa yanajirudia muda mfupi. Ulipotoa wazo la kujifukiza kweli umejiongezea mashabiki kwani waganda walijiongeza wakatumia njia hii imepunguza korona kwa kasi.
 
Naunga mkono hoja.
P
MKUU Paskali nilienda duka la anudha nikakuta vitanda Vinci vya chuma, mabakuli na vifaa vingine vinatoka India na na China, wakati viwanda beta, Kariakoo gerezani wano uwezo Wa kuchonga vitu hivo, nikashangaa vijana wengi waliomaliza beta wapo tu mitaani hawana kazi, nikawaza, kila siku tunalia hospitality watu wanalala chini, kwanini mkemia wetu Magufuli asipige marufuku kuagiza vitanda nje kwenye hospital zote hili vitengenezwe hapa.

Malighafi tunazo ujuzi tunao hata kukopi kilichotengenezwa tunashindwa? Angalau ukienda mashule mengi wameanza muni ngeza, kampuni moja ya kihindi inatengeneza vifaa imara hapo kiwandani Keko, nikashangaa Magereza nao wanashindwa kuiga, kama wameiga Viatu wanashindwaje makorokoro ya hospitali.
 
mgt software,

Ni sahihi sana sana.
Changamoto waliosoma fani hizo naona kama hata hawajiongezi kivile. Hili suala ilikuwa wawe wameanza wenyewe mapema tu.

Eneo hili tumeliacha kwa waganga wa kienyeji pekee wanafanya wanachokiweza.
Wataalamu wangeingia huku pia wangesaidia sana wananchi na kukawa na vitu/dawa zaTanzania.

Hata katika Corona hii ningetegemea wataalamu wawe machimboni wanafanya utafiti na wanatoa taarifa kwa kile kinachoendelea.

Tumejikita kwenye kupambana moja kwa moja kwenye kupunguza madhara ya ugonjwa, ni sawa na nzuri lakini kulikuwa na ulazima kuwa na utafiti unaoendelea.

Sitajali kwa kinachotokea Madagascar kwamba dawa waliyogundua pengine baadae itathibitika kuwa si dawa sahihi. Angalau wanaonekana wanafanya utafiti.

Waafrika pia tunatakiwa kuwa na majibu ili ulimwengu urejeshe heshima kwetu. Rejea kauli ya rais Putin hivi karibuni akiipuuza Africa, ingawa maneno yalikuwa na ukweli kwa kiasi kikubwa.
 
N
Pia tuachane na wamama kulazimishwa kujifungulia hospitali, wakunga wa jadi wafanye kazi hiyo! hata kuzuia ukeketaji nao ni upuuzi! Hatuwezi kupokea maamri ya wazungu kila siku.

Tujiandae kurasimisha matumizi ya anga kwa kutumia ungo.
Nakubaliana na wewe
 
MKUU Paskali nilienda duka la anudha nikakuta vitanda Vinci vya chuma, mabakuli na vifaa vingine vinatoka India na na China, wakati viwanda beta , katiakoo gerezani wano uwezo Wa kuchonga vitu hivo, nikashangaa vijana wengi waliomaliza beta wapo tu mitaani hawana kazi, nikawaza, kila siku tunalia hospitality watu wanalala chini, kwanini mkemia wetu Raid Magufuri asipige marufuku kuagiza vitanda nje kwenye hospital zote hili vitengenezwe hapa.

Mali ghafibtunazo ujuzi tunao hats kukopi kilichoyengenezwa tunashindwa? Angalau ukienda mashule mengi wameanza muni ngeza, kampuni moja ya kihindi inatengeneza vifaa imara hapo kiwandani keko, nikashqngaa magereza nao wanashindwa kuiga, kama wameiga Viatu wanashindwaje makorokoro ya hospital.
Naunga mkono hoja

Beta ni wapi?
 
Pia tuachane na wamama kulazimishwa kujifungulia hospitali, wakunga wa jadi wafanye kazi hiyo! hata kuzuia ukeketaji nao ni upuuzi! Hatuwezi kupokea maamri ya wazungu kila siku.

Tujiandae kurasimisha matumizi ya anga kwa kutumia ungo.

🤣🤣🤣😙jamani mnatuumiza sisi huku mbavu zetu hahah
 
MKUU Paskali nilienda duka la anudha nikakuta vitanda Vinci vya chuma, mabakuli na vifaa vingine vinatoka India na na China, wakati viwanda beta , katiakoo gerezani wano uwezo Wa kuchonga vitu hivo, nikashangaa vijana wengi waliomaliza beta wapo tu mitaani hawana kazi, nikawaza, kila siku tunalia hospitality watu wanalala chini, kwanini mkemia wetu Raid Magufuri asipige marufuku kuagiza vitanda nje kwenye hospital zote hili vitengenezwe hapa.

Mali ghafibtunazo ujuzi tunao hats kukopi kilichoyengenezwa tunashindwa? Angalau ukienda mashule mengi wameanza muni ngeza, kampuni moja ya kihindi inatengeneza vifaa imara hapo kiwandani keko, nikashqngaa magereza nao wanashindwa kuiga, kama wameiga Viatu wanashindwaje makorokoro ya hospital.

Hiyo simu ni mpya?
 
Tukifikia stage ya kuamini uwezo wetu,na kutumia mazingira tuliyonayo basi Maendeleo ya kweli yatakuja.
MADAWA Yapo mengi ila kazi ya kuyaproceas yaingie kwenye soko ndio tunashindwa. Vijana waliosomea madawa akili imwfubaa, wangeungana wakamwomba raid awawezeshe angalau kuwepo kiwanda cha kutengeneza dawa ya kuumwa kichwa tunayoagiza Kenya kila kukicha, ukienda maduka ya wachaga utakita dawa nyingibza kujichua kama Salumia inatokabkenya, kuna kidawa kidogo cha kujichua kinanunulika sana kwenye mabasi ya mikoani kinatoka Kenya. Tunashangaa wanakwama wapii
 
Back
Top Bottom