Ushauri p'se: Hataki Kamchezo Ketu..!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri p'se: Hataki Kamchezo Ketu..!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by leroy, Jun 7, 2012.

 1. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo.

  Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do kwenye 6*6.

  Nimeshamtangazia mpaka ndoa mola akijalia lakini wapi, hataki kutoa.

  Nimekuwa nikimuweka sawa kisaikolojia lakini akishaona nachojoa nguo anakuwa kama mbogo.

  Ananiambia hilo ni tatizo lake la asili tangu zamani na wanaume wamekuwa hawamuelewi na kuishia kumuacha.


  Mimi nimechoka, kabla sijamuacha hebu wana jamvi nipeni ushauri wenu.
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  subiri ndoa mkuu, ukiona mdada ni mwepec kukuvulia nguo jua huyo hakufai hata kidogo. hebu vuta subira!
   
 3. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Lady siko tayari kuuziwa mbuzi kwenye gunia, hii ndio shida yangu..!!
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kama unampenda na unaamini anakupenda hilo sio tatizo la kufanya umuache..
   
 5. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Ndugu tutaendeleaje katika hali hii huku mimi nikiwa sijui UPANDE WA PILI WA SHILINGI WA MWENZANGU..?
   
 6. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,016
  Likes Received: 1,387
  Trophy Points: 280
  Vuta subra anakucheki tabia.. Ahahhahaah


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 7. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35

  mpo kwenye mahusiano gani??? wewe unampenda kama anavyokupenda??? ulishawahi kuuliza kwanini hataki unachotaka kwa sasa?? unahisi utapungukiwa nini mkipendana kwa mambo mengine kwa sasa hadi atakapoamua kukupa mwenyewe??? Miezi minne tu unataka mzigo??? ...angalia usije kumkosa kwa kuwa huyo dada, inaonekana amekutana na mazingira ya kuwa katika mahusiano na wanaume kama wewe (kwamba wapo kumtamani tu na kumtumia then waishie)... nakushauri jifanye kama hilo swala kwako huna haraka nalo kabisa, ili awe huru, furaha na amani...then utaona... mwenyewe atakupa atakapokuwa tayari.(cha kupewa ni kitamu kuliko cha kuomba na kulazimisha).
   
 8. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60

  Ananicheki mwezi wa nne huu...Mbona karibu mambo yangu yote anayajua?
   
 9. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  ​Lakini yeye anasema huu kwake ni kama ugonjwa, anapenda ku-do, ila ikifika stage hiyo anapatwa na hasira ghafla....
   
 10. OGOPASANA

  OGOPASANA JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Kuna past experience anazokumbuka kuhusiana na huo "mchezo" wenu... hivyo mvumilie kwa sasa na jaribu kwenda naye kwa washauri na hospital apte matibabu ya kisaikolojia, pia usitumie mazingira ambayo mmezoea kutaka kuanza naye hako kamchezo, vilevile usimshtukize kutaka ku-do... unaweza kuanza kuchat naye kwenye simu ili walau kumuandaa akilini kwanza, kwenda kuchezacheza naye sehemu tulivu kama beach, au kwenye garden nzuri, kucheza naye kwenye mvua, kunywa kinywaji katika chupa au glass moja, na kuongeza kumpetipeti anaweza kuanza kuzoea.... mwisho nashauri muulize au uliza watu wake wa karibu kuhusu hisroria yake ya kimahusiano.
   
 11. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NI MPENZI WAKO?...MPE MUDA..:roll:
   
 12. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,224
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  force game tu mkuu madem wengine ndo washazoea kulazimishwa....ukimuacha utaonekana kibisa
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ndo akina mama wanaambiwa chungeni vitovu vya watoto wanajidai uzungu.
  Anyway, hapa sitaingia sana.

  Kuna wale watu huwa hawana K, labda anajijua yuko hivyo ila anashindwa kukuambia.

  Matatizo ya kisaikolojia, labda aliwahi bakwa???

  Huwezi msaidia kama hajafunguka kukupa ukweli.
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  hasa kumbe leroy unajua tatizo sa why dont you seek for medical attention? yawezekana alipobikiriwa was hard kiasi kwamba akikumbua yu aumia. and this huwapata mabinti wengi sana kama aliyekubikir hajui alikua yuko na hasira hakukuandaa vizur definately unaambulia maumivu tu ambayo mwishowe yanakutia jeraha la kila nikijaribu hakuna raha ni maumivu tu.

  to me nenda naye taratibu tu wala usilazimishe najua akiwa ndani ya ndoa lazima akupe tu manake ndo kazi iliyo mleta kwako. atakuwa kado siku moja tu huyo na yenyewe ilikuwa mbaya sana kwake. play with her psych
   
 15. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  i was reding this from down it came to ma head that this is Kongosho, and real at the top i proved it. nimecheka sana kumbe kitovu kikidondokea K inaondoka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, kitovu hakipotezi K, ila anaogopa ku du tu.

  Kuna wengine wanakuwa hawana K, hakuna sehemu ya mzee kulala, hilo nalo ni tatizo tofauti.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  Kongosho kuna mtu namjua aliwah kukutana na K iliyokaa horizontal badala ya vertical. Aisee kama kuna kitu sitakaa nisahau ni huu upumbavu yaani pale UDSM maicampus enzi hizo it was full of funny. Alikimbia pasi kuvaa kitu. Dah! yaani naandika nikiwa nacheka manake ilikuwa ni kituko cha mwaka enzi hizo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 60
  Hapana Kongosho, 'k' anayo. Hili sina wasiwasi....!! Nilishawahi kupima OIL..!
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,851
  Trophy Points: 280
  hivi wewe sasa ina maana hakuna mashavu ni kitobo tu? lol hili na lenyewe ni tatizo lakini ni dogo manake waweza kutengeneza mashavu kwa plastic surgery na yakawa mazuri na nywele zake. ngoja siku nikifurahi nitakupm nkupe a true story moja ya mtu aliyekuwa hemaphrodite halafu wakaua prominent sex wakabakiza ile weak lol aliteseka sana huyu mtu lkn wahaind waliitahd kumremba akafanana na jinsia husika, but kazi haikuweza kufanya.
   
 20. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Amekeketwa uyo, kaka kazi unayo au ni two sex,
   
Loading...