Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,210
- 44,166
kama kitu gani unakipata kwenye ps3 kwenye 360 ulikikosa?Personal nilianza kwenye xbox, nikaja xbox 360 ila nilivojaribu PSP mbio kununua ps3 tangu hapo xbox naona wanajaribu tuu hawafiki ninakotaka