Ushauri: Ps3 Vs Ps4

Mkuu mi natumia Ps3 tu, Ps4 sina uzoefu nayo ...ila natamani kweli kuhamia Ps4 kwa sababu wameadvance zaidi
 
Attachments

  • IMG-20170321-WA0126.jpg
    IMG-20170321-WA0126.jpg
    145 KB · Views: 162
Nataka nichukue game console, ila siajajua ipi ni best kati ya Ps3 na ps4 in terms of game za kutosha na uimara na ubora wa console. nina bajeti ya kutosha
Angalizo: Sihitaji Pc games

wataalam naombeni ushauri wenu
Ah Ni vizuri ukatafuta jailbroken ps3(CFW PS3) ambayo itakua na uwezo wa kuweka Pirates Games ukiwa ni hii utaweza kudownload games zote bure kwa hiyo hii ni nzuri sana.

Pia Ni vizuri kuchukua Ps4 sababu ina almost games zote mpya pia games zake zina Graphics nzur. but upatikanaji wa magemu yake ndo kuna tatizo game moja linafika hadi laki na nusu so ujipange sana

So kwa ushauri wangu Tafuta Jailbreken Ps3.
 
Pirating ni nzuri kama wewe ni mchumi.
Pirating si nzuri kama unataka kuinjoy full potential ya games.
Jua hayo mawili alafu make decision. Unataka kucheza 20% ya game basi tafuta ps3 ijailbreak alafu enjoy magem mengi ambayo utacheza nusu. Utapita mtaani ukisema GTA nimelimaliza lile wakati watu wanaocheza kwenye OFW (Official Firmware) wanaenjoy features kama Online Heist (accessed after purchasing psn + bundles) ambapo ndo utam halisi wa gem ulipo.

Pirate game kama fifa 17 kila siku ucheze na mdogo wako hapo chumban/sebulen kwako umtandike magoli 20 kila siku mpaka uboeke AU get the OFW and then get to play online with real people you don't know, tengeneza marafiki wapya huku ukiwa unajichallenge na watu toka mataifa mbalimbal (accessed pia with psn +)

Hapo nimegusia kidogo ila kote kuna advantage na dis advantage.

Remember jailbreaking your console is fun till you get your console id bunned.
But thats not a big deal.

Also remember not jailbreaking is fun until you broke. Ukiishiwa hela za vifurushi vya kucheza online na kusubscribe hapo ndo utajua je Yesu na Jesus ni mtu mmoja?
 
yeah umeongea vizuri sana but Ile OFW ps3 games zake zote unahitaji kunanua. games za F2P zipo kama 8 tu. nakucheza games online na watu wa mataifa mbalimbal.
Inahitaji Kujiunga na PS plus ambayo inacost na pia kuongeza utamu wa game pia inacost Kudownload Yale Ma DLC ni hela nyingi sana.
 
Nimeelezea hapo pia kuhusu ps+ na mostly ukiongelea online gaming iache ps3 hapo nahisi ilikua trial tu. Console kama ps4 na psvita na playstation TV hapo ndo online gaming imekua to its standards.
Ofcaurse mambo mazuri sio cheap ni ghali.
 
yeah i got you but hata akinunua ps4 gharama zipo palepale
 
Back
Top Bottom