Ushauri: Ps3 Vs Ps4

Usichukue PS 4 kama huna utaalamu mzuri kwenye kucheza magame itakusumbua,PS 3bado nzuri ila katafute mtu mwenye PS 4 uizoee kidogo kabla ya kununua
yeah ni kweli unavyo sema bcoz ps4 ni mpya ni ya kisasa zaidi ina features za kisasa zaidi ukitofautisha na matoleo mengine ya playstation. so utaalam flan ivi unagitajika kama we ni mgeni ktk ps4.
 
Ah Ni vizuri ukatafuta jailbroken ps3(CFW PS3) ambayo itakua na uwezo wa kuweka Pirates Games ukiwa ni hii utaweza kudownload games zote bure kwa hiyo hii ni nzuri sana.


Pia Ni vizuri kuchukua Ps4 sababu ina almost games zote mpya pia games zake zina Graphics nzur. but upatikanaji wa magemu yake ndo kuna tatizo game moja linafika hadi laki na nusu so ujipange sana

So kwa ushauri wangu Tafuta Jailbreken Ps3.
Uko deep sana
 
aa3333fe10c79c9406e2116b6ea66e0c.jpg


Ps4 fat and slim

73cd804a4a57600461d1d6efe6c2f905.jpg



Ps3 on jailbreaking process ndo inamalizika.

69d689799acf60acadf46daa1deb667f.jpg


Assus core i7 not strong but can get the job done most times

508a550fd85b8ae80271339e288bc809.jpg


Hua nikiwa free naenjoy games kwenye ps4

Hizo ndo console nilizonazo. Nainjoy ps4 of the most you should try it.
Nipe bei ya slim na hiyo fat
 
Usichukue PS 4 kama huna utaalamu mzuri kwenye kucheza magame itakusumbua,PS 3bado nzuri ila katafute mtu mwenye PS 4 uizoee kidogo kabla ya kununua
Mimi sina uzoefu hata wa ps3 kwahyo nisinunue Ps4?

Huoni baada ya muda nitahitajika kutafuta Ps4?
 
Usichukue PS 4 kama huna utaalamu mzuri kwenye kucheza magame itakusumbua,PS 3bado nzuri ila katafute mtu mwenye PS 4 uizoee kidogo kabla ya kununua
Mkii hivi vitu haviitaji kusomea wala nini. Nunua kaa nayo 3days ushaizoea kila kitu. Ni kama simu tuu
 
Xbox One wako vizuri kwenye paid games kuliko PS4 yaani unaweza cheza games zote za EA (Fifa, NFS, UFC, etc) baada kulipia EA Access service which cost $5 kwa mwezi au $30 kwa mwaka au kulipia games umiliki mwenyewe ila gharama sana
 
Vipi wakuu..hivi kibongobongo wadau wameshaweza ku-jailbreak ps4!?..
hata wazungu nadhani bado hawajajua ila kuna wa brazili ndo wananjia yao inaitwa ps4 dump flash technique

pia unawezakudownload free full games ktk ps3/4 kwa kubonyeza combo buttons ktk magemu yote yenye demo
hivyo utalitoa game kwenye demo kwenda full version free zero cost
 
Back
Top Bottom