USHAURI: Prof. Mbarawa, chukua marubani watano tu ATCL

wewe una akili kweli?mimi nimecoment kwenye uzi huu unaongelewa marubani wa ndege.Nasema hivi Zanzibar kuna marubani zaidi ya 100,Nenda pale airport utawaona ata kazi wengine hawana wanapiga dayworker ok?
Mkuu acha utani, marubani wanapiga dei waka? Urubani umekuwa udereva wa bajaj, vespa, au daladala. Duh
 
Usiongelee wanafunzi wa urubani. Tunataka marubani competent..
Mkuu hadi sasa nipo upande wako, maana nimecheka na kujiuliza eti rubani anapiga dei waka?
 
Halafu marubani huwa trained kwa "set" au "pair"....Sasa ukichukuwa watano,watukuwa (2-2-1) huyu mwingine atarusha na nani?Q400 siyo Cockpit ya aina ya ndege kama Cesna 206 (C206)...kwamba mtu anaweza ku-Command akiwa peke yake tu...This needs a pair of Pilot in Command and First Officer
Mzungu mmoja atakuja kusaidia watakuwa 6.
 
Aliyekudanganya wanajeshi wa anga wame relax nani? Wange relax usingekuwa unatype
 
Prof. Mbarawa najua JPM hakukosea kukupa hiyo nafasi, nashauri hao marubani watano watakaoenda masomoni wanatosha, badala yake chukua marubani kutoka jeshini kwanza hii itasaidia hawa wanajeshi kuwa na uzoefu kwani muda mwingi watautumia kurusha ndege ukilinganisha na jeshini ambao muda mwingi wanarelax.

Pili, katika hali hii ya ugaidi tunahitaji air Marshall ambao hao marubani watafanyakazi kama marubani na walinzi wa ndani ya ndege, tuliwahi shuhudia nshomile mmoja aling'ang'ania kukaa mlangoni ndege ilibidi irudi chini kuita polisi, wangekuwemo wajeda ndani ya ndege angebananishwa hukohuko juu.

Tatu, wanajeshi ni jasiri wakati wa uokoaji ikitokea dharura na wana nidhamu ya hali ya juu, tofauti na hivyo vibabu vinavyopigiwa upatu humu, naimani tukifanya hivi tutakuwa na shirika bora kabisa.
Ushauri mzuli sana ndugu EDDY,hayo ndio mambo ya msingi kuyarusha humu kweny nyuzi za JF.Prf Mbarawa najua utalisikia hili chukua maubani kutoka jeshini wasaidiane na marubani wa kawaida,Mfano Nchi za wenzetu wameanza utaratibu huo kufundisha marubani na wahudumu wa ndege kupitia jeshini na wanawachukua wanajeshi kuendesha ndege kwa sababu za kiusalama.
 
image.jpeg

Mkuu

Hizi ndege mpya zinatarajia kuingia na kufanyakazi Q400 zina speciality zipi, zinasemwa ni kubwa, je ukubwa wake ni wa engine, ubebaji mizigo, abiria wangapi, speend, etc.

Je ni design ya hizi za Fastjet au PW? Maana tulizoea sijui "Boeing ", why bombadier ?

Maana naona mjadala unaangalia zaidi marubani kuliko aina ya ndege na ubora wake, je zitakidhi hitaji?

Please mimi si mtaalam wa mambo ya anga ila mpanda ndege tu.
Mkuu hiyo bombardier Q400 ni kama hiyo hapo kwenye Hangar ya RwandAir,hizi zinasemwa kuwa na less fuel consumption,lakini pia inastahimili kutua na kuruka katika "viwanja korofi" ambavyo Tanzania ndio tunavyo kwa wingi.Hizi pia engine zake ni Turboprop.Ukubwa wake ni kuchukuwa abiria 70+ hivi.Kwetu zinatufaa kwasababu tunaweza zipeleka mikoa kama Lindi,Mtwara,Kigoma na Tabora bila matatizo.

Speed yake si kiasi hicho ukilonganisha na ndege zenye Jet-Engine.
Hapana,hizi si design ya fastjet,zile za Fastjet ni Airbus 319,jet engine na zina uwezo wa kuchukuwa abiria 150+.Zile za PW zinafanana kwa maana ya aina ya engine,kuwa zote ni Turboprop,japo zile za Precision ni ATR72 na ATR42.ATCL waliwahi kumiliki Boeing miaka ya nyuma,moja ndio ile ilidondoka Mwanza na mpaka leo mabaki yake yapo pale Mwanza uwanjani nyuki wanakaa na kutengeneza asali.Precision waliwahi kuwa na Boeing773 lakini za kukodi,zilikuwa 5H-PAZ na 5H-PMC,ziliwashinda wakarudisha.

Ukiniuliza kwanini tumeamua kuchukuwa Bombardier?Ntakujibu kwa sababu Kagame anamiliki Bombardier kadhaa,na ndio "mshauri" wetu kwa sasa ktk mambo ya usafiri wa anga.Hivyo tumeamua kufuata ushauri wake
image.jpeg

Umenipata mkuu kwa maelezo haya??
 
kwani hawawezi badilishana? au wanakuwa kama maksai, anayekaa kushoto ukimuweka kulia anapotea njia?
Yaani wewe mtu wewe...nimecheka kama amnazo! "mbele ya Mkwe" kwa vituko vyako!!!
 
Mkuu acha utani, marubani wanapiga dei waka? Urubani umekuwa udereva wa bajaj, vespa, au daladala. Duh
Mkuu mbona hii si kitu ya ajabu?Marubani "deiwaka" wapo kuanzia Dsm,Znz na nchi zote zilizoendelea.Hii kitu mbona ya kawaida sana tu.Mkuu @siambini yupo sahihi kabisaaa,vijana wengi sana wa Kizanzibar wapo nchi za Oman na UAE kama marubani baada ya huku kwetu kukosa kazi.
Kuwa rubani "deiwaka" ni kitu ya kawaida sana...Hawa huitwa "Freelencer Pilots",kwa mfano kwenye hiyo picha unayemuona ni mmoja kati ya marubani wazoefu na mahiri sana Tanzania toka enzi za Mwalimu Nyerere,anaitwa Captain Aziz,ni kaka yake na Dr Liki Abdalah yule mchambuzi wa mpira.
Huyu Captain Aziz alianzia ATC,lilipopoteza muelekeo akachukuliwa na kampuni ya Coastal Aviation inayopeleka watalii mbugani kwa wingi,pale akawa kama Chief Pilot,baadaye akastaafu.Sasa anaruka kama "deiwaka".....Freelencer Pilot!!Hapo alimpeleka Maalim Seif Znz toka Dsm,huyo nyuma yake ni mtoto wake anayetaka kumrithisha kazi ya urubani,kwa hiyo anaruka nae,baba akiwa kushoto basi dogo anakuwa kulia.Wakiwa juu basi dogo anaachiwa "usukani" anafanya yake,mpaka baba astaafu kabisa basi kazi itakuwa kwa dogo.Huyu ni freelencer pilot,au neno "deiwaka" ndio limekuchanganya!????Sasa Captain Aziz anaruka na ndege ya kampuni ya Jambo Aviation kama "Deiwaka"....Aliwahi nipa lifti toka Lindi kuja Dsm wakati wa kutafuta wadhamini wa Uchaguzi ndani ya CCM,hii ndege ilitumiwa na Membe baadhi ya sehemu kutafuta wadhamini

hahaha ndio wanapiga day worker, mfano ikitokea kukodiwa ndege kuenda selue au serengeti unatupia tu ndege kwa rubani anenda.Ila wana commercial licence za kurusha boeng pia
 
Mkuu mbona hii si kitu ya ajabu?Marubani "deiwaka" wapo kuanzia Dsm,Znz na nchi zote zilizoendelea.Hii kitu mbona ya kawaida sana tu.Mkuu @siambini yupo sahihi kabisaaa,vijana wengi sana wa Kizanzibar wapo nchi za Oman na UAE kama marubani baada ya huku kwetu kukosa kazi.
Kuwa rubani "deiwaka" ni kitu ya kawaida sana...Hawa huitwa "Freelencer Pilots",kwa mfano kwenye hiyo picha unayemuona ni mmoja kati ya marubani wazoefu na mahiri sana Tanzania toka enzi za Mwalimu Nyerere,anaitwa Captain Aziz,ni kaka yake na Dr Liki Abdalah yule mchambuzi wa mpira.
Huyu Captain Aziz alianzia ATC,lilipopoteza muelekeo akachukuliwa na kampuni ya Coastal Aviation inayopeleka watalii mbugani kwa wingi,pale akawa kama Chief Pilot,baadaye akastaafu.Sasa anaruka kama "deiwaka".....Freelencer Pilot!!Hapo alimpeleka Maalim Seif Znz toka Dsm,huyo nyuma yake ni mtoto wake anayetaka kumrithisha kazi ya urubani,kwa hiyo anaruka nae,baba akiwa kushoto basi dogo anakuwa kulia.Wakiwa juu basi dogo anaachiwa "usukani" anafanya yake,mpaka baba astaafu kabisa basi kazi itakuwa kwa dogo.Huyu ni freelencer pilot,au neno "deiwaka" ndio limekuchanganya!????Sasa Captain Aziz anaruka na ndege ya kampuni ya Jambo Aviation kama "Deiwaka"....Aliwahi nipa lifti toka Lindi kuja Dsm wakati wa kutafuta wadhamini wa Uchaguzi ndani ya CCM,hii ndege ilitumiwa na Membe baadhi ya sehemu kutafuta wadhamini
View attachment 378420
asante sana mkuu kwa kunisaidia,maana mimi naongea kwa kuyaona haswaa ,wnakuja ma captain wa oman air na nyenginezo wanapiga kiswahili na ni wazanzibar hasaaaa ila tu hali za kwetu zinawafanya waache uraia hapa na kupiga kazi huko
 
Mkuu barafu nimekupata, hoja yangu siyo kukataa kuwa "deiwaka" haipo, inawezekana nilielewa katika dhana rahisi rahisi - kwa kuangalia mtu anaamka asubuhi "hana la kufanya" na kukaa kijiweni akisubiri dereva wa daladala aumwe na kuambiwa chukua funguo.

Ila hii naiona ipo kitaalam zaidi.
 
asante sana mkuu kwa kunisaidia,maana mimi naongea kwa kuyaona haswaa ,wnakuja ma captain wa oman air na nyenginezo wanapiga kiswahili na ni wazanzibar hasaaaa ila tu hali za kwetu zinawafanya waache uraia hapa na kupiga kazi huko
Naona ipo haja ya kuwa na Zanzibar Airways, fursa zinazidi kufunguka, Prof Mbarawa wakikuzingua peleka zanzibar, kwanza wazanzibar waadilifu sana wataliendesha shirika kwa uadilifu mkubwa, hebu watafute hao wazanzibar wa emirates.
 
Mkuu platozoom mimi nimeiba sana almasi Mwadui..Nimekuwa mbeshi toka nikiwa kijana mdogo sana!Nilikoswa koswa risasi na hata kuumwa na wale mbwa wa polisi Mwadui.Sidhani kama natamani kurudia tena hii kazi mkuu....Maganzo pale nilifahamika sana kwa matajili wa ng'hana na Wabeshi wa Utemini,Muhunze,Mwigumbi,Songwa,Mipa na Ibadakuli
Duu mwizi wa alamasi na mtaalamu wa field ya usafiri wa anga!!! I like that teh teh teh teh
 
Nimekusoma mkuu ngoja ni - peep kwenye hiyo link, but i hope wewe sio jambazi ha ha ha aaaa
Hapana mimi sio jambazi humu ndani kuna kaka Jambazi ndio mwenye kazi zake
Sisi tulikuwa tunachukuwa mali za babu zetu ambazo Wacanada na Wamerekani walikuwa wanatuuibia kupitia Mwadui Mine Diamond Ltd.Wakati huo haya mambo ya Corporate Social Responsibility hayakuwepo kabisa kabisa!!Watu walikuwa waansomba madini bila kuangalia jamii inayowazunguka!Ikabidi na sisi tuwe tunajihudumia
 
ha ha hahaaaaaaa Mkuu unatisha i can imagine that your life is/was full of struggle and inspiring in different way!!! Anyway i hope kwenye harakati za kurudisha mali zetu "kwenye mifuko yenu" hukuwahi kutoa uhai wa mtu, ha ha ha ha aaa. link inagoma, nina shauku ya kujua ya enzi hizo.
 
Back
Top Bottom